Mama, huyu ndio Samson

Alipomuona Samson alishajijengea picha kuwa yeye ndiye mke, alishaiaminisha akili yake hivyo.
Afadhali umetuburudisha na hadithi hii tamu na kusisimua tumechoka na siasa. Ni hivi vipi huyo mchumba aliyeko Botswana akaja kusema amepata mchumba huko aliko!Samson hakusoma alama za nyakati hahahhaah akikuambia mama mzazi ukamsalimie jua amewathibitishia Nina mchumba xyziiii.
 
nywele, nywele zake zilikuwa ndefu. alikuwa bado kunyolewa...........
 
Hii ni hadithi au true story?
Mwanaume kamili wa kiafrika akae miezi sita bila sex then
papucci ijipendekeze halafu aitolee nje

Kama ni kweli basi aliyekuhadithia kuna episodes nyingi sana ameziruka
Hooo
 
Hehehe nimependa msimamo wa Samson, ni vizuri kama binadamu kua true to yourself na kwa wengine, kudanganya kujitoa kwenye mtego hua ina effect baadaye.
Huyo A mshamba sana, yeye kwenda kanisani pamoja alisha-translate kama kawekwa ndani tayari, hehehe!
 
Hahaha wanawake wabovu wanasoko gumu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…