Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,148
- 8,791
Yaan ako so proud of his mama's husbandHii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Yaan ako so proud of his mama's husbandHii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Kwa kweli inasikitisha mno..kumbe alimla kweli?Ni kweli kabisaaa
Ilikua hivyo
Mmmmh babu wee muongo lol.Ndio ukuje sasa. Nikichoka shauri zako
Morogoro hyoooHivi uncle shamte ni mwenyeji wa mkoa gani?
Maana anatia aibu sana
Moro town!!!!Hivi uncle shamte ni mwenyeji wa mkoa gani?
Maana anatia aibu sana
Kwa hiyo yuko above 55 auMkuu,hizo ni kamera tu zisikudanganye,tunakutana nao huko sinza kila siku,huyo mama ni mtu mzima kabisa na ngozi imeanza kukunjamana.
Diamond anawalea woote,mirija tu ampe hela mama ,mama ampe huyo mario mario akagawe kwa michepuko kadhaa.Eti kumlea bi Sandra au yeye ndo analelewa?🤣
Kwa kumuangalia anakaribia 60.Kwa hiyo yuko above 55 au
Anko kashatimuliwa. Chezea utegemezi weweMwacheni uncle shamte ajilie vinono JAMANI