libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,474
- 3,631
Ben 10 anamkung'utia hapo hapo Madale?Ben10 anaonekana hamkazii vizuri uyu bi mdashi maana hatulii kabisa angeingia kwenye 18 zangu muda huu Diamond anategemea kupata mdogo wake.
Ben 10 anamkung'utia hapo hapo Madale?Ben10 anaonekana hamkazii vizuri uyu bi mdashi maana hatulii kabisa angeingia kwenye 18 zangu muda huu Diamond anategemea kupata mdogo wake.
Old is Gold, Wazee nao wanafaida, Serengeti girls nazo cheche tu.Domo anataka kijana mwenzake, huyu bibi vepeee?
Mbona anamfosi mtoto wake aoe wazee!
Ben 10 anamkung'utia hapo hapo Madale?
Domo anataka kijana mwenzake, huyu bibi vepeee?
Mbona anamfosi mtoto wake aoe wazee!
bibi hamtaki Zari wala Hamisa anataka mwanawe awe single tuu!maana hata Zari alishatolewaga kasoro ndo akatafutwa Hamisa(Bi Sandra muache ile kwake maana huyo nyoka yeye ndo kamfuga)Leo kamgeukia amekua mbayaa
Ndo maana Dai anazidisha mahaba Mara paap dailani na cheni ya A boy from TandaleKila akija Madale ni kipigo hahahah chezea Mama Mkwe bondia ww,Tununu unalo safari hii

Huku mburu inaitwa KUMAA MOJANaskia buku inaitwa elfu moja sikuizi?
Kisa?!!!Hehee angemng'oa na meno kabisa
kweli wivu hauna macho!!!Kisa?!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli wivu hauna macho!!!
Huwaga napata picha wewe bonge la mzunguu yaani!



mie mswahili bana sio mzungu. Sina cha kumuonea wivu hamisa hatanami nahisi hvyo, si bure hakyananIsije kuwa domo na mamaake wanaka...z...na...hii stori huku sinza mori inavuma mnooo
Jina lako na maandishi yako unaonekanaga bonge la zungu la roho yaani!mie mswahili bana sio mzungu. Sina cha kumuonea wivu hamisa hata
Ndio angemng'oa meno tuone kama ana nguvu kweli kelele zote hizo mpaka magazetini kisa kamvua wigi tuJina lako na maandishi yako unaonekanaga bonge la zungu la roho yaani!
Nakuelewa sanaa Mrs Van!
Huyu Bi Sandra bora hanaga rafiki wa kudumu kasahau yeye ndo alimleta Missa kumkomoa Zari Leo anajifanya fyokofyoko!!!mnaafiki tu hata Zari hampendi baasi tu kashatingwa




Sio wa kuwaamini hata chembe hapo ukute kiki tu ili Zari awape watoto na akithubutu kuwapa imekula kwake yule mama nyokaaaNdio angemng'oa meno tuone kama ana nguvu kweli kelele zote hizo mpaka magazetini kisa kamvua wigi tu
Familia ile siiamini kuanzia mama, watoto na majirani ni wapenda kiki. Unaweza kuta na hii ni kiki tu waongelewe.
Kila mtu kwake mbaya na walivyosemaga kuwa anakazana na mwanae ukute kweli sio wivu huo kwa mwanae ,huyu mama hafai kabisa karudi madale na shamte au wameachanaLeo Hamisa mchafu,hajui kutandika kitandaa!saafi sanaa...kakukomeshaa...ulimuona Zari hafai ukamtafutia mchepuko kiko wapi sasa?
Bibi hiyo ndo Karma pambana na gubu lakoo!
Bi Sandra usipoangalia mwanao hataoa kokote maana kila mkwe mbaya,nakumbuka ushasemaga Wema mvivu,Zari anaongea kingereza ana dharau,Hamisa mchafuwacha wake wakukomeshee
Mama una gubu balaaq