Mama apotea ghafla salendar bridge

Hii story mwanzoni sikuiamini lakini nadhani it sums up now kwamba hili tukio litukia kweli. SIjui tukimbilie wapi wajameni.
 
Hii story mwanzoni sikuiamini lakini nadhani it sums up now kwamba hili tukio litukia kweli. SIjui tukimbilie wapi wajameni.
Alcadabra za mujini hizo, wenye akili hutambua....umesahau wale misukule wa LWAKATARE mama mchungaji sijui, umesahau yale ya yule binti alianguka na ndege ya uchawi Tabata, mmmh shauri yako....
 
Hassani,
Take it from me, hiyo habari sio ya kweli na haitakaa kuwa ya kweli. it is basically a hoax!

kuna mtu aliweka thread ya hii kitu humu na akadai yeye kaisikia mtu akishuhudia kanisani tena akataja na kanisa kabisa kuwa ilikuwa Azania Front
 
Miongoni mwa Magazeti niliyokuwa nikiyaamini ni Mwananchi lakini jana wameni-dissapoint kabisa kabisa. Yaani wameiandika hiyo habari bila kutaja jina hata moja, angalau picha ya hilo gari wala jina la huyo ndugu anayesemekana kuja kulizima gari baada ya askari kuogopa kufanya hivyo!! halafu nikadhani angalau leo wataenda Muhimbili kucheki na huyo mama maana wao ndio walioandika kuwa amekutwa asubuhi baharini na amepelekwa Muhimbili!! karne hii ya Ishirini na moja????
 
Leo hii nimepita maeneo ya hapo, kwa kweli wale omba omba wanasikitisha na wanalaani Clouds FM. Mmoja wao kasema kwa ucungu " Hawa watu ni waongo na wanataka kutuua, Wote hapa tunajuana na hakuna hata mmoja aliyepotea kama Clouds wanavyodai, tukio hilo halikuwepo"

Vile vile hadithi hii inabadilika kila mara, Hivyo ni kazi kweli kweli:confused:
 
Dah kama ni kweli basi kazi ipo. Ila kuna nyepesinyepesi kuwa hii story ilitungwa ili kupunguza ombaomba town. But I'm not sure so don't quote me!
 
kuna mtu aliweka thread ya hii kitu humu na akadai yeye kaisikia mtu akishuhudia kanisani tena akataja na kanisa kabisa kuwa ilikuwa Azania Front

Missing you

Si unajua mimi na wewe ni kama Kakobe na Tanesco ama Mapanga na Tarime!
 
Missing you

Si unajua mimi na wewe ni kama Kakobe na Tanesco ama Mapanga na Tarime!

same here Masanilo!!! hapo kwenye red Masa wee acha tu.........
ulipotea ghafla leo mpaka nikapata mawazo mabaya labda na wewe yamekukuta ya selander bridge
 
same here Masanilo!!! hapo kwenye red Masa wee acha tu.........
ulipotea ghafla leo mpaka nikapata mawazo mabaya labda na wewe yamekukuta ya selander bridge

Usicheze karibu na Fidel anapenda sana bata ! Nipo si unajua leo njia ya msalaba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom