Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Una maana Selander Bridge. John Selander alikuwa Waziri wa Ujenzi katika Serikali ya Gavana.
Hii Salendar Bridge iko wapi au ndio mazingaombwe yanaendelea 🙂
Asante sana Mkuu Ngwala mimi nilikuwa nikiijua Selander Bridge tu, anyway si kitu kwani nasikia hadi majina ya mitaa yanabadilika kwa kasi ya ajabu - yoote shauri ya maisha bora zaidi kwa kila mtaa, oops kila mtanzania !bonde la msimbzi linapoungana na bahari kuna daraja barabara ya ally hassan mwinyi ilijengwa na kajima.