Mama apewa kipigo msibani

Mama apewa kipigo msibani

LUMBAKALA

Senior Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
148
Reaction score
20
Mama mmoja alipewa kipigo msibani,baada ya kushutumiwa kumuua marehemu ambaye ni mtoto wa mdogo wake.Sakata hilo lilitokea mjini mahenge Morogoro vijijini.Kundi la watu waliokuwa msibani lilionekana kuzomea kwa sauti baada ya mama mmoja aliekuwa anaingia msibani hapo.Nilipouliza kulikoni nikaambiwa mama huyo ndie anahusika moja kwa moja katika mauaji ya marehemu,hata hivyo mpaka tunaondoka sehemu ya msiba mama huyo alielekea polisi ili akawashitaki watu waliompa kibano.
 
bado wazungu wakiwaacha kwa maendeleo mnalalama
 
mama mmoja alipewa kipigo msibani,baada ya kushutumiwa kumuua marehemu ambaye ni mtoto wa mdogo wake.sakata hilo lilitokea mjini mahenge morogoro vijijini.kundi la watu waliokuwa msibani lilionekana kuzomea kwa sauti baada ya mama mmoja aliekuwa anaingia msibani hapo.nilipouliza kulikoni nikaambiwa mama huyo ndie anahusika moja kwa moja katika mauaji ya marehemu,hata hivyo mpaka tunaondoka sehemu ya msiba mama huyo alielekea polisi ili akawashitaki watu waliompa kibano.

hawachelewi kusema "chadema" wanatuharibia nchi
 
Back
Top Bottom