Samurai 07
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 101
Weka ki half cha ganja ilipigwa nyundo hapo gheto mezani Mama akikute, hataingia tena. Nakuakikishia.
Another mama1. Upo na mama na anajua wewe ni mtoto bado.
2. Shukuru unaye naanakujali ananguvu ma afya.
3. Mpende mama ako hakuna wakumpenda nakumjali kama wewe.
Ukikuta kafanya yote mnunulie zawadi nzuri au umtoe out na umwambie asante kwa fadhila hiyo maana kweli unaonyesha upendo namimi nimekuwa mkubwa.
4. Mtafute mdada wakazi awe anafua nguo zako na zamama anafanya usafi anaondoka ili mama apumzike.
Furaha ya mama ni wewe. Acha ujinga shauri yako
Awapikiefanya uoe ukae na mkeo hapo happ kwa mama yako awafulie wewe na mkeo awapikie.
Tatizo lilianzia hapa.Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
eeh ikibidi awafanyie huduma zote muhim kasoro za kitandaniAwapikie
kama unaona i akukera sogea na wewe upewe hudumaBasi huyo mtoto wa kaka yako anapenda sana kuto mbana kuliko kufua nguo zake mwenyewe kwa hio unamsaidiaje?
Halafu kamwambia mama yako wewe mwanaume rijali una maana gani? Kuwa na adabu fala wee.Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.
Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Wapi?kama unaona i akukera sogea na wewe upewe huduma
Mkuu vijana hawa wanaokaa na wazazi wao nyumbani hali imekua mbaya sanaKuna mvulana mwenzie nilikutana nae Mlandizi analalamika kunyolewa mavuzi na mamaake.
Kuja kuchunguza dogo ameshaanza kuchezewa mkia na wahuni na mamaake ni sababu ya kumwaribu
Wazazi wengine ni wapumbavu sanai!!
unamuabisha mama acha uchafu oga vaa vizur, tandika kitanda chako vizuri, hata hivyo hayo ni miongoni mwa madhila ya mtu mzima kuishi kwa wazazi 🐒Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.
Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Unapenda sana kuongea matusi?mbona Kila Uzi naona umekazana na Hilo neno?Anawaza kuto mbana tu kufua nguo zake ni anajishauri siku 6 hujafua nguo unajua huo uvundo unaotoka humo na hili Joto la hapa Dar? Ila masuala ya kuto mbana linachekelea kufua nguo sifuri
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Hujitambui ndo sababuWasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.
Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Au unahisi anakutaka?Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.