Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

Nyie
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.

Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.

Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.

Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Vijana "funua pale" mnashida sana

Nenda kapange toka home hapo
 
Nina swali. Huyo mama unayemzungumzia ni Mama yako Mzazi au ni mama tu ambaye anaishi katika nyumba hiyo? Nauliza hivyo kwa vile umeanza kwa kujitambulisha kwamba wewe ni mwanaume rijali!
 
Nani kama mama.....? Mama anaupiga mwingi mitano tena hadi unazeeka
 
Kuna mvulana mwenzie nilikutana nae Mlandizi analalamika kunyolewa mavuzi na mamaake.

Kuja kuchunguza dogo ameshaanza kuchezewa mkia na wahuni na mamaake ni sababu ya kumwaribu

Wazazi wengine ni wapumbavu sanai!!
Duh!dunia ina mambo
 
Huyu hatakiwi kupewa ushauri.

Mtoto wa kiume anakuwaje mpuuzi kiasi hiki? Alafu anakuja mbele ya wanaume kuwaadithia maujinga anayofanya yeye na mamaake.

Stupid kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.

Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.

Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.

Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Urijali wakowako umeingiaje hapa storyinayo mhudu mama yako?!
 
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.

Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.

Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.

Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Wanawake mna kazi sana.
 
Back
Top Bottom