Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

Mtoto kwa mama hakui lakini ww umezidi kwanza ww ni lichafu tu tena lichafu og.Kama uko dar ama hata uko wapi jamani na joto lote ama umekutana na mvua jitu linavaa nguo six day ww ukipanda gari lazima watu wasikie kichefu chefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2B9X.gif
 
1. Upo na mama na anajua wewe ni mtoto bado.
2. Shukuru unaye naanakujali ananguvu ma afya.
3. Mpende mama ako hakuna wakumpenda nakumjali kama wewe.
Ukikuta kafanya yote mnunulie zawadi nzuri au umtoe out na umwambie asante kwa fadhila hiyo maana kweli unaonyesha upendo namimi nimekuwa mkubwa.
4. Mtafute mdada wakazi awe anafua nguo zako na zamama anafanya usafi anaondoka ili mama apumzike.
Furaha ya mama ni wewe. Acha ujinga shauri yako
 
Kuna mvulana mwenzie nilikutana nae Mlandizi analalamika kunyolewa mavuzi na mamaake.

Kuja kuchunguza dogo ameshaanza kuchezewa mkia na wahuni na mamaake ni sababu ya kumwaribu

Wazazi wengine ni wapumbavu sanai!!
Wamama wanakua attached sana na watoto wa kiume

Wanaona kama hujakua yaani

Ndo maana nashauri vijana wasikae sana na mama wakishaanza kujitambua
 
Nunua mashine ya kufulia, hii siyo jambo lakuja kujadili humu, pumbavu
Hahaaaaa, kuna vitu vya ajabu sana. Bora umeamua kumuita pumbavu, oia anatakiwa atoke kwao. Aende kujitegemea. Jitu chafu na linataka tulishauri humu.
 
🤣🤣 Mamas boy.....Nakushauri uwe unafunga chumba chako
Chumba chake au kwa mama yake. Huyo bado yupo kwa mama yake na mama yake ndio anamlisha na kumvalisha. Jamaa ni lichafu ndio maana mama yake analifulia.
 
Anawaza kuto mbana tu kufua nguo zake ni anajishauri siku 6 hujafua nguo unajua huo uvundo unaotoka humo na hili Joto la hapa Dar? Ila masuala ya kuto mbana linachekelea kufua nguo sifuri
Mbona umekazana na minyanduano?
 
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.

Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.

Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.

Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
"Una kasirika na kulia!" Chinekeeeee! Na ni "mwanaume" Wa, wapi! Au, bado mvulana!?
 
Back
Top Bottom