Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
337
Reaction score
817
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.

Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.

Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.

Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
 
Takataka. 🚮

Alafu tunatarajia uje kuwa baba wa familia na kiongozi.

Huoni aibu kuandika haya mashudu?
 
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.

Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.

Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.

Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Basi kama hutaki akufulie toka apo nyumbani......simple like that
 
Back
Top Bottom