Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,095
- 828,902
- Thread starter
- #61
Lakini sasa imekuwa rasmi lakini je chawa hawa wa mamaMama kweli anao chawa tena wanene. Unadhani akina January Makamba, Livingstone Lusinde, Msukuma, Mwigulu Nchemba, Abdulrahaman Kinana, Rostam Aziz, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, Shaka Hamdu Shaka, Pindi Chana, Profesa Paramagamba Kabudi, William Lukuvi na wengine wengi ni nini bila kumsahau chawa mkubwa wao Yusufu Makamba?
Ni kikundi?
Kina uongozi?
Kinafadhiliwa na nani?
Kina malengo gani? Nk nk