Mama aibiwa mafao yake yote NMB Kahama

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
551
500
Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,972
2,000
Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini(Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
Taarifa kama hiv huwa zinanihudhunisha kupita kiasi kabisa.Halafu ukute huyo mama hana hata hela ya kuja mjini kufuatilia issues zake.Nadhani kuna haja ya kufanya kurudisha furaha ya huyu mama.

kama ni security control weakness ya Bank,watajitahidi sana kuizima hiyo kesi kwa gharama yoyote ile.ila wajue itakuja kuwacost zaidi siku moja.Vyombo vyetu ulinzi na usalama(kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya) ndiyo vimejichokea kabisa.Ingekuwa ni hai,Sabaya angepiga kelele flani hiv
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
161,251
2,000
Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
5,420
2,000
Nmb mobile Ina namba ya Siri na Kila kinachofanyika mhusika hupata taarifa . Huenda mama alimuachia mtu simu na namba ya Siri akampa . Kila wakati Benki na polisi wanajitahidi kuelimisha kuhusu namba ya Siri . Kuna uzembe uliofanyika ama wa mama au Benki .
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,056
2,000
Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
Katika uchunguzi wa awali kuna sehemu mteja alikosea au , hapa imeonyesha hadithi ina kosa taarifa fulani , Majibu ya nmb yanasemaje , washughulikie au , mwisho inaweza kuwa kuna mtoto wake au Mjukuu au ndugu walikuwa wana msaidia mama kufanya transaction kwa kutumia mtandao au hao wafanyakazi wa Bank. Mwisho watu wakipata madai ni vizuri fedha nyingi waweke kwenye fixed deposit ili waweze kuzichukua pale anapokuwa anaulazima kwa kuingia ndani ya Benki
 
Hassan Ali

Member
Sep 3, 2014
11
45
Bank waizi daa
Kuna haja gani ya Kuwa na Bank kama nchi?
Unaibiwa bank? Hii ni kashfa kubwa sana kama wenzetu mda huu kila sehemu ya dunia imechapishwa ila kwa sisi tunajionea kawaida tu
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,974
2,000
Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
Serikali ilishasema haifanyii kazi taarifa za mtandaoni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom