Mama aibiwa mafao yake yote NMB Kahama

Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
NMB wako humu ndani waje.watujibu hii kashifa wasikimbie maana hapa kuna mambo ya security
 
Laini ya tigo pesa haiwezi kuiba milioni 20 mara moja, kiasi kina mwisho.. pili mtu hawezi hamisha pesa kwa sim banking bila namba ya siri kuijua . Mama atakuwa amefanya uzembe sehemu
Unaambiwa baada ya hela kuisha kwenye account ndo akapewa taarifa pili no mattet ni uzembe au laa ila hela imetolewa kwenye account yake bila lidhaa yake hivyo ni kuwa ameibiwa au unaona hajaibiwa?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Nmb mobile Ina namba ya Siri na Kila kinachofanyika mhusika hupata taarifa . Huenda mama alimuachia mtu simu na namba ya Siri akampa . Kila wakati Benki na polisi wanajitahidi kuelimisha kuhusu namba ya Siri . Kuna uzembe uliofanyika ama wa mama au Benki .
mara nying wazee hata kikawiada unakuta anampa mtu password amsaidie kutoa.itakua wameijua hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna Uchawi basi watu hao walioiba ndiyo wakurogwa mpaka wafe kibudu.Shenzi taipu
 
Mkuu inawezekana kuhamisha 24mil kupitia NMB mobile kwa mda mfupi sn limit siku hizi zimepandishwa kwa siku inaruhusiwa kuhamisha 10mil kwa instalments za 5mil mfano mtu afanye transfer ya 10mil saa 5 usiku then saa 7 usiku huo afanye transfer ya 10mil nyingine maana hapo ni siku nyingine then siku itayofuata anamalizia 4mil so kwa siku 2 in sense mzigo wote utakuwa umeisha
Huu ndio ukweli mchungu ambao wengi hawakubali,Ili ujiunge Nmb mobile ni lazima vitu viwili vihusike,kadi yako ya benki na simu yako,na hapo ni lazima ufike kwenye ATM mashine ili uigize kadi na ujiunge na kuweka namba yako ya siri,sasa kama Mama aliteleza akamwamini mtu baki kumpa kadi na namba zake za siri ili amtolee hela basi hapo ndio alipojichanganya,maana mtu atakutolea hela na atakuletea ila atajiunga na huduma ya simu kwa namba yake.

Kwa Pesa hizo mil 24 itamchukua mwizi siku 24 tu kuhamisha kwa njia za simu(kumbuka limit ya kuhamisha kwa simu ni 1,000,000 kwa siku) huku akiwa amekaa kweye kochi na kwenda kuzitoa kwa wakala.

Hapo mwenye akaunti hawezi kupata taarifa yoyote kwamba hela imetoka labda kama awe ameunganishwa kwenye SMS banking(ni huduma tofauti).

Hapo benki sidhani kama ina lawama labda kama kuna mengine tusiyoyajua ambayo yanahusishwa watumishi wa ndani ya benki.
 
Utaratibu ushabadika wakuu kwa siku unaruhusiwa kuhamisha 10mil 5mil at a go kwa mobile
Hapa kuna namna.
Huduma ya kukamisha kwa simu huwa haizidi 1m kwa siku.
ina maana imehamishwa kwa siku 24 kila siku 1m
 
Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24

Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.

Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.

Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.

Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.

Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.

Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.

Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.

Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.

Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.

Serikali fatilieni hili.
Ungeelezea walau kaibiwa kwa style Gani uweze saidia wengine..maana kwa hicho kiasi kutolewa kwa mobile banking, it's big no..huwa kuna limit..
Na kama bank hawatoi ushirikiano basi ujue kuna uzembe kwa mteja na sio bank..so hiyo ni police case.
Kosa lingekuwa la bank wangeshamrudishia fedha zake na lisingevuja Ili kulinda heshima ya bank..
Elezea kaibiwa kwa mtindo Gani tuelewe..
 
Nmb mobile Ina namba ya Siri na Kila kinachofanyika mhusika hupata taarifa . Huenda mama alimuachia mtu simu na namba ya Siri akampa . Kila wakati Benki na polisi wanajitahidi kuelimisha kuhusu namba ya Siri . Kuna uzembe uliofanyika ama wa mama au Benki .
Kwa maelezo ya mleta taarifa yaonekana kosa ni kwa mama...ila mleta taarifa angeleta habari iliyokamilika tungeweza toa msaada wa mawazo..ila kwa maelezo yake huwezi comment chochote..
 
Mkuu inawezekana sn tu kwa NMB limit ya kuhamisha kwa mobile ilishapandishwa ni 10mil kwa siku kwa instalments za 5mil,5mil
Ungeelezea walau kaibiwa kwa style Gani uweze saidia wengine..maana kwa hicho kiasi kutolewa kwa mobile banking, it's big no..huwa kuna limit..
Na kama bank hawatoi ushirikiano basi ujue kuna uzembe kwa mteja na sio bank..so hiyo ni police case.
Kosa lingekuwa la bank wangeshamrudishia fedha zake na lisingevuja Ili kulinda heshima ya bank..
Elezea kaibiwa kwa mtindo Gani tuelewe..
 
Mkuu inawezekana kuhamisha 24mil kupitia NMB mobile kwa mda mfupi sn limit siku hizi zimepandishwa kwa siku inaruhusiwa kuhamisha 10mil kwa instalments za 5mil mfano mtu afanye transfer ya 10mil saa 5 usiku then saa 7 usiku huo afanye transfer ya 10mil nyingine maana hapo ni siku nyingine then siku itayofuata anamalizia 4mil so kwa siku 2 in sense mzigo wote utakuwa umeisha
Kumbe wamerahisisha hivyo,basi hapo ndio hatari zaidi
 
Back
Top Bottom