Ni mama wa kambo au.......! Check kwanza sura ilivyomkomaa kama dume la nyani, astaghafilulah laana tulah!
Acheni ubishoo utotoni tuligogwa zaid ya apo asee,kipigo ya mwisho nakumbuka niliwekwaga kwenye gunia nikatundikwa jikoni mpaka asubuhi apo ni baada ya kipigo cha haja
Sio kila mama wa kambo wana roho mbaya....mimi ni mama wa kamba nawapenda wanangu wote kwa usawa na mungu ndio shahidi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Acheni ubishoo utotoni tuligogwa zaid ya apo asee,kipigo ya mwisho nakumbuka niliwekwaga kwenye gunia nikatundikwa jikoni mpaka asubuhi apo ni baada ya kipigo cha haja
Acheni ubishoo utotoni tuligogwa zaid ya apo asee,kipigo ya mwisho nakumbuka niliwekwaga kwenye gunia nikatundikwa jikoni mpaka asubuhi apo ni baada ya kipigo cha haja
Acheni ubishoo utotoni tuligogwa zaid ya apo asee,kipigo ya mwisho nakumbuka niliwekwaga kwenye gunia nikatundikwa jikoni mpaka asubuhi apo ni baada ya kipigo cha haja
Hatujui kosa manake wadogo zetu wa siku hizi lohhhhhh ni shida....hhhh