Mama afanya ukatili wa kutisha

Mama afanya ukatili wa kutisha

Hivi kwa mfano ukakuta ndio mwanao' halafu mwenzie kamuinamisha anampiga miti.


Ukikutwa mtoto wako anapgwa miti adhabu yake ndo hiyo? What if ukampiga vbaya ukamtia kilema au ukamuua?
 
hawa wanawake kwa nini wanakuwa na roho mbaya kama hizi inauma sana anatakiwa kupewa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine
aaaah wapi ni ngumu sana mkuu binadamu wasikuhizi baadhi yetu wameuvaa uhusika wakundi la mnyama shida tuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Hata kama ni mama wa kambo siyo kihivyo sisi wengine tumelelewa na mama wa kambo ingawa kila mwanadamu ana mapungufu yake mfno hatukupewa kipa umbele kwenye elimu vyet vinaruhusu kupata ajira na baba ni mfanyakazi wa serikal nikashindwa kusomeshwa hata chuo cha private inauma sana nikaamua kuanza maisha yangu binafsi mpaka sasa
 
Sio kila mama wa kambo wana roho mbaya....mimi ni mama wa kamba nawapenda wanangu wote kwa usawa na mungu ndio shahidi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hiyo kauli mie inanichoshaga sana, wengine sisi tunakaa na hao watoto na ni kazi sana mtu kujua mie sio mama yake, mana kutumia neno wa kambo pia huwa sipendi, wengine sisi tunawachukulia hao watoto kama wa kwetu tuliowazaa kabisa, ndio tulijifunzia kwao kuitwa mama kabla hatujawaleta wadogo zao duniani.
 
Sio kila mama wa kambo wana roho mbaya....mimi ni mama wa kamba nawapenda wanangu wote kwa usawa na mungu ndio shahidi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hembu fafanua mama wa kamba ndo anakuwaje?
 
THIS IS TOO MUCH,wanawake kuweni na huruma,muadhibu mtoto kwa kiasi sio kama punda
 
Sio kila mama wa kambo wana roho mbaya....mimi ni mama wa kamba nawapenda wanangu wote kwa usawa na mungu ndio shahidi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Farkhina, wewe ni tofauti kwa kuwa -kama ulivyoandika mwenyewe- ni mama wa kamba na si wa kambo!
 
Huyu ndiye anafaa kuwa mama.

Huyo dogo bila hivyo kesho mtakuta mtaani ukiwauliza wazazi unaambiwa mtoto ameshindikana.

Mpe bakora hadi asisahau ashike adabu ya wazazi.
 
Back
Top Bottom