HP1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 3,362
- 878
Acheni ubishoo utotoni tuligogwa zaid ya apo asee,kipigo ya mwisho nakumbuka niliwekwaga kwenye gunia nikatundikwa jikoni mpaka asubuhi apo ni baada ya kipigo cha haja
Unaweza kuanzisha kesi dhidi ya ukatili huo uliotendewa kipindi kile. Wapi wanaharakati?