Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,915
- 6,719
Ya kwanza, inayojulikana kama "NYOTA KUBWA YA AFRIKA" (THE GREAT STAR OF AFRICA) imewekwa juu ya fimbo yake ya ufalme, nyingine inayojulikana kama "NYOTA YA PILI YA AFRIKA" (THE SECOND STAR OF AFRICA) imewekwa juu ya Taji lake. Zote mbili ziligunduliwa (lugha sahihi, kuibwa) nchini Afrika Kusini na zina thamani ya DOLA BILIONI TANO.