Malkia was Uingereza anamiliki almasi mbili kubwa zaidi kuwahi kupatikana Duniani

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,007
2,000
Ya kwanza, inayojulikana kama "NYOTA KUBWA YA AFRIKA" (THE GREAT STAR OF AFRICA) imewekwa juu ya fimbo yake ya ufalme, nyingine inayojulikana kama "NYOTA YA PILI YA AFRIKA" (THE SECOND STAR OF AFRICA) imewekwa juu ya Taji lake. Zote mbili ziligunduliwa (lugha sahihi, kuibwa) nchini Afrika Kusini na zina thamani ya DOLA BILIONI TANO.

FB_IMG_1620706788453.jpg
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,191
2,000
... weka picha ya fimbo yake ya utawala tuone hizo almasi zenye thamani ya dola bilioni 5! Ila nina mashaka kama unafahamu maana ya dola 5 bn unless ni Zim dollar.
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,190
2,000
Sasa hizo almasi mbona hatuzioni?
Uzi bila picha ni useless.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom