Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
bilionea wa simba, rahma al kharusi malkia wa nyuki
al kharusi mmiliki wa kampuni ya rbp group inayojishughulisha na mafuta.
mwenye namba yake ani PM, Maana muda mrefu sana namtafuta huyu!
fillmasoni!mwenye namba yake ani PM, Maana muda mrefu sana namtafuta huyu!
mimi nataka awe mlezi wetu uwt(umoja wa wanawake tanzania) usinifikirie ubaya wandugu!Mie, ninayo. Wewe una mtafuta ili iweje?
mimi nataka awe mlezi wetu uwt(umoja wa wanawake tanzania) usinifikirie ubaya wandugu!
duuu mpaka wewe unayo basi sihitaji tena baki nayo tu!Mie, ninayo. Wewe una mtafuta ili iweje?
duuu mpaka wewe unayo basi sihitaji tena baki nayo tu!
ahaaaaaaa! nimeshamjua siyule wamagOGoGOnIKuna jamaa anapenda sana wenye mashavu makubwa usoni.....simtaji
Huyu billionea ni mtanzania au maana kwenye listi ya wenye hela ndefu wa Tz sijasoma jina lake.