Honey usijali naamini utafanikishaNitaleta mahari yote,
My love
Karibu honeyThanks my love
Mbona haudundi kipenzi[emoji173]
Hahahahhaha nilikua nakutania tu my honeyHaufanani na ule wa kwenye WhatsApp love
love[emoji23] [emoji23] [emoji23] my love
ndo kakuacha hivyo penzi limesimamaπMbona haudundi kipenzi
Unatamani tuachane? Impossiblendo kakuacha hivyo penzi limesimamaπ
Njoo kwangu ndo kwanza damu inachemka na moyo unadunda vyema mpk miaka mia,bado nakuzimia,ntaendelea kukuimbia,wewe ndo wangu dear,nipe mubashara nikupe biashara,usivae tena ndala,ung'are kama swala kwa penzi linalong'ara..
nafasi idumishe,wahuni watupishe
penzi livimbishe,upendo nizidishe
kwa lishe na mahaba,kwako sina toba
wako nisie zoba,siwezi kukupiga roba...ππ
sio matangazo mpk umuite yanamuhusu nini..? mpige chini ule madini..
he he! tatu imeanza,sio sururu bali mapangaNakuona aisee jiangalie wewe
Hapo madini upo mgodini au?
Hahahah