Malisa na Mikopo ya Elimu ya Juu

Malisa na Mikopo ya Elimu ya Juu

Walipe tu hakuna namna maana walipo vyuoni wanataka mikopo wasilete siasa uchwara kwenye mikopo
Yaani we jamaa utafikiri sio mtanzania!Wanaoumia ni watanzania wenzako,kuweni na huruma hata kama mambo haya hayajawagusa au hamtegemei kuwa na watoto!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakati mnakola mlizani atawalipia

Lakini niki kumbuka wanavyuo mnavyo tumia iyo mikopo nabaki kushangaa. Kama ndo nyie hao hao mnao lalamika hapa

SUBIRI KIDOGO
 
Mhutu huyo Mkuu.
Yaani we jamaa utafikiri sio mtanzania!Wanaoumia ni watanzania wenzako,kuweni na huruma hata kama mambo haya hayajawagusa au hamtegemei kuwa na watoto!
 
Hivi ulifanya utafiti wa idadi ya hao wanavyuo unaowashangaa?
Lakini niki kumbuka wanavyuo mnavyo tumia iyo mikopo nabaki kushangaa. Kama ndo nyie hao hao mnao lalamika hapa

SUBIRI KIDOGO
 
Kuna watu wanafanya kejeli katika hili labda ni kwasababu tu ya ushabiki au hana mtoto ambaye anamsomesha au yeye mwenyewe nk.
Hapa hakuna mtu aliyekataa au hataki kulipa deni la serikali.

Hakuna mtu anapinga kuwa mkopo ule haukuwa au hauna manufaa kwa watoto wetu au mnufaika. Kinacholalamikiwa hapa ni ile sheria mpya ya mwaka 2016.Jamani kiuhalisia sheria ile imegeuza dhana ya ule mkopo kuwa mateso kwa mnufaika.

Na mimi niwaambie ukweli kama watu wangejua ingekuja tungwa sheria hii mtu nadhani angeacha kusoma.Hata hawa watoto wetu basi tu hawajui kitakachokuja kuwakuta.

Nadhani iko siku kila mmoja atakuja aamini hiki watu wanacholalamika. Yaani haingii akilini wewe kwenye salary slip uliwekewa labda milion 6.

Halafu ukapigwa sijui penalty ikaw2a mil.9 kwenye salary slip.Badae salary slip ikasoma nil halafu baadae unaambiwa deni liloko kwenye salary slip si HALISI,deni lako halisi wanajua Bodi,ukitaka kujua wasiliana nao,UNAPEWA deni jingine upya.

Swali unajiuliza,penalty ya mil 3iliyongezeka kutoka 6 hadi 9 ili cover vitu gani? kwanini deni lako lote lisiwekwe kwenye salary slip?.

Jamani kama kweli hawa wabunge wetu kwadhati kabisa walipitisha sheria hii kwa matakwa yao kabisa na kwa moyo radhi na hawakuona dosari kabisa na sheria yenyewe waliielewa kabisa, basi kwa wale tunae amini uwepo wa mungu,basi mungu atasikia kilio chetu hiki na atulipia.
Pole yako na sie wengine pia. Wabunge waliopitisha sheria hii mshahara wao ni 12m kwa mwezi + allowances. Serikali (= raisi wa wanyonge) iliyoltunga sheria hii mishahara yao ni hiyohiyo 12m+. Ili waweze kuendelea kulipwa lazima sisi wanyonge tukamuliwe vilivyo kwa njia tofati, ikiwemo hiyo ya heslb. Bunge la sasa ambalo imelazimishwa liwe la ccm tupu haliwezi kamwe kututetea. Ni rubber stamp ya serikali. Kwa uchungu sana baadae kuna sauti tutazikumbuka kukosekana pale bungeni- Tundu Lisu, John Heche, Godbless Lema, Freeman Mbowe, Zito Kabwe, Sugu, covid-19 kabla hawajasaliti etc. Hawa kwa kiasi kikubwa ndio walikua watetezi wa raia wa kawaida. Serikali ya wanyonge ikawaita majina kama wakala wa mabeberu, wapinga maendeleo nk. Zaidi ikaleta uchafuzi (sorry ni uchaguzi)2020 na kuhakikisha hata mmoja harudi bungeni, na nadhani ile kauli maarufu 'NITAHAKIKISHA KUFIKA 2020 UPINZANI UMEKUFA' imetimia. Kwa hiyo kwenye hili la mikopo ya elimu yajuu na mengine mengi tunapaswa kumrudia Mungu atupe ujasiri wa kupinga mambo ya ovyo yanayofanyika ktk nchi hii. Tuombe atupe viongozi wanaojali ustawi wa raia wote badala ya kujali tu matumbo yao na vyeo vyao.
 
Wakati mnakola mlizani atawalipia
Mimi nimeanza kulipa toka JK akiwa madarakani,sijawahi kulalamika!Lakini sasa naona imekuwa too much,ilianza kiwango ghafla kikaongezeka na sasa nasikia watu hata kukata leseni mpaka walipe kiwango cha mkupuo cha mwaka mzima!
Wanaotenda haya hao akina JPM wao walisomeshwa bure kabisa,mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa!
Kuna wenzako lumumba damu damu lakini kwenye hili la bodi ya mikopo wanapingana na uamuzi wa serikali!
Imagine mtu hajapata ajira yuko anaokoteza,mdhamini wake sasa anabambikwa deni na kukatwa!Tunakoenda watu watakosa wadhamini na kukosa mkopo!
Iruhusu akili yako ifanye kazi bila kuathiriwa na mahaba uliyonayo kwa watawala!
 
Pole yako na sie wengine pia. Wabunge waliopitisha sheria hii mshahara wao ni 12m kwa mwezi + allowances. Serikali (= raisi wa wanyonge) iliyoltunga sheria hii mishahara yao ni hiyohiyo 12m+. Ili waweze kuendelea kulipwa lazima sisi wanyonge tukamuliwe vilivyo kwa njia tofati, ikiwemo hiyo ya heslb. Bunge la sasa ambalo imelazimishwa liwe la ccm tupu haliwezi kamwe kututetea. Ni rubber stamp ya serikali. Kwa uchungu sana baadae kuna sauti tutazikumbuka kukosekana pale bungeni- Tundu Lisu, John Heche, Godbless Lema, Freeman Mbowe, Zito Kabwe, Sugu, covid-19 kabla hawajasaliti etc. Hawa kwa kiasi kikubwa ndio walikua watetezi wa raia wa kawaida. Serikali ya wanyonge ikawaita majina kama wakala wa mabeberu, wapinga maendeleo nk. Zaidi ikaleta uchafuzi (sorry ni uchaguzi)2020 na kuhakikisha hata mmoja harudi bungeni, na nadhani ile kauli maarufu 'NITAHAKIKISHA KUFIKA 2020 UPINZANI UMEKUFA' imetimia. Kwa hiyo kwenye hili la mikopo ya elimu yajuu na mengine mengi tunapaswa kumrudia Mungu atupe ujasiri wa kupinga mambo ya ovyo yanayofanyika ktk nchi hii. Tuombe atupe viongozi wanaojali ustawi wa raia wote badala ya kujali tu matumbo yao na vyeo vyao.
Kwasasa huko bungeni hakuna atakayewatetea watanzania zaidi ya kugonga meza tu!
 
Wengi waliosoma nje ya nchi kwa kulipiwa na bodi ya mikopo (HESLB) wanadaiwa fedha nyingi kulinganisha na waliosoma nchini. Nimeona jamaa ana mshahara 900K but anadaiwa 47M. Kwa mwezi atakatwa 143K, kwa mwaka 1.7M. Under "ceteris paribus" mwamba atahitji miaka 28 kumaliza deni lake. Lakini ukiongeza "rention fee" atahitaji miaka 35 kumaliza deni.

Assume ana mika 30 kwa sasa. Jumlisha 35 ya kulipa deni atakua na miaka 65. Umri wa kustaafu ni miaka 60. Maana yake atastaafu bila kumaliza kulipa deni. Ikitokea hivyo Bodi itaenda kukomba kiinua mgongo chake kumalizia deni (kama sheria inavyosema). Sasa jiulize je huku ni kumsaidia mtanzania au kumkomoa?

Kunapaswa kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu mikopo ya elimu ya juu. Wazazi wanaoweza kusomesha watoto wao kwa kuwalipia ni vizuri wafanye hivyo, badala ya kuwaingiza kwenye mikopo hii inayoumiza. Pili, wazazi wasio na uwezo serikali iwape watoto wao ruzuku (bursary) si mikopo (loan)

Awamu ya kwanza na ya pili serikali iliwapa ruzuku wanafunzi wote wa elimu ya juu. Awamu zilizofuata zikaondoa ruzuku na kuleta mikopo. Nyerere na Mwinyi waliweza nini ambacho kimewashinda waliofuata?

Wakati wa Nyerere na Mwinyi wanafunzi wa vyuo vikuu walikula bure, kusoma bure, na kulala bure. Na bado walipewa pesa ya kujikimu. Kuna kipindi nchi ilipita kwenye hali ngumu kiuchumi Nyerere akapunguza bajeti ya mayai kwenye breakfast ya wanafunzi wa UDSM. Wakafanya mgomo. Akawaita Ikulu na kuwatia bakora

Wakati ule mwanafunzi hana pressure ya ada, kula wala kulala. Anapewa pesa ya stationeries, field na research. Asubuhi anapewa breakfast yenye mapochopocho kibao (maziwa, mkate, mandazi, pancacke, chees, jam, mayai, juice, sambusa, sosage etc). Halafu wanapunguziwa mayai wanaamua kugoma. Nyerere akawatia bakora. Akawaambia msijifanye nyie ni muhimu kuliko watanzania wengine.

Sasa wale waliosomeshwa kwa ruzuku na kupata fursa zote hizo, ndio wameleta kitanzi kinaitwa mikopo ya elimu ya juu. Kitanzi hiki kimewatesa sana watoto wengi wa maskini. Hivi Nyerere nae angeweka mikopo hawa viongozi wa leo wangesoma? Nashauri MIKOPO ifutwe wanafunzi wapewe RUZUKU kama zamani. Rasilimali tulizonazo kama taifa zinatosha.!

Malisa GJ
Uchambuzi wa ovyo kabisa
 
Nchi inawajibu wakusomesha RAIA wake maana wanasomeshwa na kodi yao na wanailipa iyo kodi vyema.
Niulofa mkubwa kuwalipisha watumishi hasa waserikali mahela mengi wakati wanahudumia umma katika mazingira magumu Mf. Walimu,manesi,madaktari etc.
Mkinichaguwa kuwa raizi watumishi wauma na serikali mtalipa nusu ya mkopo na nusu ilobaki serikali itawalipia... nipeni nji mtafrai
 
Sawa lakini ni mkopo so kilipa lazima
 
Wamekopeshwa wengi... Na wanazidi kukopeshwa wengi... Hivyo obviously hili ni tatizo kubwa sana linatengenezwa bila kujua... Litakuja kuleta shida baadae kama halitarekebishwa
Sana.
Mkopo hutolewa kwa kigezo cha uwezo wa kulipa. Mfano benki inapotoa mkopo. ..
Sasa ukimkpesha mtu akasome kipi ni kigezo cha uwezo wa kulipa ikiwa zaidi ya nusu ya wakopeshwaji hawana hakika ya kipato baada ya shule. Ajira hakuna.
Tena hiyo elimu aliyokopeshwa ina tija gani ikiwa mfano mtu amosoma uhandisi halafu akaja kulima matikiti.
Unamkopeshaje mtu kwa kitu ambacho hakifanyii kazi. Kusoma ni fasheni au ni nini!
Ukopeshaji huu haueleweki bora tu uachwe.
Kwa nini serikali ijisifie kukopesha badala ya kusomesha?
 
Wengi waliosoma nje ya nchi kwa kulipiwa na bodi ya mikopo (HESLB) wanadaiwa fedha nyingi kulinganisha na waliosoma nchini. Nimeona jamaa ana mshahara 900K but anadaiwa 47M. Kwa mwezi atakatwa 143K, kwa mwaka 1.7M. Under "ceteris paribus" mwamba atahitji miaka 28 kumaliza deni lake. Lakini ukiongeza "rention fee" atahitaji miaka 35 kumaliza deni.

Assume ana mika 30 kwa sasa. Jumlisha 35 ya kulipa deni atakua na miaka 65. Umri wa kustaafu ni miaka 60. Maana yake atastaafu bila kumaliza kulipa deni. Ikitokea hivyo Bodi itaenda kukomba kiinua mgongo chake kumalizia deni (kama sheria inavyosema). Sasa jiulize je huku ni kumsaidia mtanzania au kumkomoa?

Kunapaswa kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu mikopo ya elimu ya juu. Wazazi wanaoweza kusomesha watoto wao kwa kuwalipia ni vizuri wafanye hivyo, badala ya kuwaingiza kwenye mikopo hii inayoumiza. Pili, wazazi wasio na uwezo serikali iwape watoto wao ruzuku (bursary) si mikopo (loan)

Awamu ya kwanza na ya pili serikali iliwapa ruzuku wanafunzi wote wa elimu ya juu. Awamu zilizofuata zikaondoa ruzuku na kuleta mikopo. Nyerere na Mwinyi waliweza nini ambacho kimewashinda waliofuata?

Wakati wa Nyerere na Mwinyi wanafunzi wa vyuo vikuu walikula bure, kusoma bure, na kulala bure. Na bado walipewa pesa ya kujikimu. Kuna kipindi nchi ilipita kwenye hali ngumu kiuchumi Nyerere akapunguza bajeti ya mayai kwenye breakfast ya wanafunzi wa UDSM. Wakafanya mgomo. Akawaita Ikulu na kuwatia bakora

Wakati ule mwanafunzi hana pressure ya ada, kula wala kulala. Anapewa pesa ya stationeries, field na research. Asubuhi anapewa breakfast yenye mapochopocho kibao (maziwa, mkate, mandazi, pancacke, chees, jam, mayai, juice, sambusa, sosage etc). Halafu wanapunguziwa mayai wanaamua kugoma. Nyerere akawatia bakora. Akawaambia msijifanye nyie ni muhimu kuliko watanzania wengine.

Sasa wale waliosomeshwa kwa ruzuku na kupata fursa zote hizo, ndio wameleta kitanzi kinaitwa mikopo ya elimu ya juu. Kitanzi hiki kimewatesa sana watoto wengi wa maskini. Hivi Nyerere nae angeweka mikopo hawa viongozi wa leo wangesoma? Nashauri MIKOPO ifutwe wanafunzi wapewe RUZUKU kama zamani. Rasilimali tulizonazo kama taifa zinatosha.!

Malisa GJ

Lawama zote zinaenda kwa NIMROD MKONO.
 
!
!
Kajifanya Mzalendo Kurudi Bongo Sivyo? Atauona Moto. Wenzake Wanatembea Yeye Karudi Teh Teh Aje Tupambane Wote
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu miaka hii ukipata bahati ya kwenda kusoma nje au kufanya kazi nje hakikisha kuja bongo ni kutembea tu na huko uliko fanya juu chini upate makaratasi ili uishi kihalali.

Back
Top Bottom