Malipo ya walimu walikua masomoni jijini mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya walimu walikua masomoni jijini mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JALUO, Feb 11, 2012.

 1. J

  JALUO Senior Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  NAOMBA USHAURI WA KISHERIA,walimu jijini Mwanza waliokua masomoni wananyanyaswa kwa kutolipwa stahiki zao,,mkurugenzi anadai kua walijikommit kujilipia wakati mkurugenzi huyohuyo alishawalipia sehemu ya ada je,kwakufanya hivyo akuuvunja mkataba wa awali??
  PILI,katika uhakiki aliwaruhusu wahakiki wakiwemo internal auditors wakahakiki madai hayo na kuyapitisha kama yalivyo pia na kuyaombea ela hazina na ela zilipokuja wakashikilia msimamo kua mlijikommite. hiii ni haki?
  TATU,malipo yalitakiwa yalipwe kama yalivyohakikiwa lakini wao wameunda uhakii mwingine tofauti na kauli ya serikali kua uhakiki ni mmoja na malipo yafanyike before 15 th january,
  NNE,walimu hawa kulingana na standing order walitakiwa walipiwe lakini hapa jijini Mwanza hawana huo utaratibu wa kuwalipia walimu kwani kila mwalimu ushinikizwa kujilipia mwenyewe la sivyo NO RUHUSA,
  TUFANYE NINI??DOCMENT ZOOTE TUNAZO
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo bwana linachanganya sana mi mwenyewe ni mwathilika natokea Iringa. Mwaka wa kwanza nililipwa baada ya kuja ofisa mmoja toka ikulu mwajiri wangu aligoma kwa vigezo kuwa aliniandikia kuwa nijisomeshe. Lakini mimi sikukiri kujisomesha. Witu wangu wenye upeo tusaidieni jamani. Tz sasa hivi usipokomaa na jambo lako kuna waroho wachache watajenga kwa kupitia haki yako. Serkali inatoa hela zinapotea kiujanjaujanja.
   
Loading...