Ushauri kuhusu malipo ya walimu mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kuhusu malipo ya walimu mwanza.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JALUO, Feb 11, 2012.

1. J

JALUO Senior Member

#1
Feb 11, 2012
Joined: Jun 4, 2011
Messages: 148
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Ndugu wanasheria naomba ushauri,inakuaje kwa mfanyakazi wa umma aliyekamilisha zaidi ya miaka minne kazini akitaka kwenda shule..,serikali haipaswi kumlipia licha ya sababu za hapa na pale za serikali kuwa hawana fungu???
Sie tuko jijini mwanza ni walimu tulioamua kwenda kusoma..lakini tulipo hitaji ruhusa tulilazimishwa kujikomit kuandika kua TUTAJILIPIA GHARAMA ZOTE ZA MASOMO.ulifanya hivyo tukaenda masomoni na kusoma kwa kujilipia lakini baada ya mda tukafunguka macho na kumfata AFISA ELIMU nae aliamua kulipa TSH 200000/= Kwa kila mwanachuo anaesoma SAUT na TSH 400,000/=Kwa wale wa UDOM na vyuo vingine hawakupewa hata shilingi 1,
Baada ya kuhitimu chuo tukagundua kua,kumbe hawa mabwana hapa jijin MWANZA hua wanalo FUNGU ILA TU NI URASIMU NA WIZI WAO.Sasa serikali ilitangaza kua walimu waorodheshe madai yao na WATALIPA,,,nasi kama kundi la walimu tulijumuika kuorodhesha madai na maoditor wasio pungua 8 wakasign madai yetu kua tunapaswa kulipwa na january hii serikali ikapeleka pesa ktk halmashauri na majiji yote ili kutekeleza ahadi yake ya kuwalipa walimu.
Ulipowadia muda wa kulipa wakaja na madai ya kufanya tena uhakiki upya wakati HAZINA ilishatuma fungu na kusema pesa hzo zilipwe kuanzia tarehe 09 jan. mpaka 15 jan, 2012.mpaka leo nnapopost hii link bado uhakiki unaendelea na kwa walimu walioenda masomoni wanadai kua hatupaswi kulipa kwani tulijicommit lakini nina maswali ya  kisheria kama ifuatavyo:
1.kwanini walisign fomu zetu kua watatulipa na kupeleka majina HAZINA ILI KUYAOMBEA PESA??Na baadae wageuke tena??
2.Hivi kama walikua hawana pesa na tulipaswa kujilipa kama tulivyojicommit kwanini walitoa zile laki 2 kwa SAUT na laki 4 KWA UDOM kwa kila mwalimu aliyekua masomoni kwa hivyo vyuo??na huo ulipaji si kweli kwamba walivunja ule mkataba wa awali tuliojikommit kwa kulazimishwa??
3.JE,huu si wizi kwakugawa pesa za serikali bila vikao maalum kwani tunaona UDOM wanapata laki 4.SAUT laki 2,tutathibitishaje uhalali wa huo mgao?JE,si kwamba walikua na pesa nyingi zaidi za kuwasomesha walimu na walizila ndo maana wakagawa bila equal ratio??hatupaswi kuhoji hili na TAKUKURU ikaingilia kati??
4.kwakua JIJI LA MWANZA  halina utaratibu wa kuwasomesha walimu ingawa mafungu yanatumwa na imebainika kua ni maofisa wachache tu ndo ulipwa hizi pesa za masomo,,hapa hakuna class prev-allege kwa MAOFISA PEKEE???

NAWAKILISHA NAOMBA MABINGWA WA SHERIA MTUSAIDIE TUIPATE HAKI YETU

2. +255

+255 JF-Expert Member

#2
Feb 11, 2012
Joined: Jan 1, 2012
Messages: 1,909
Likes Received: 285
Trophy Points: 180
Mkuu unaweza ukaiandika tena thread yk, manake naona maandishi hayaeleweki eleweki kwenye simu yng. Au sim itakuwa na matatizo, labda waje wengne wataielewa.

Loading...