Hebu mtag msukuma hii mamboKwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao(sitting allowance) Tsh 220,000/=na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Kusema mbunge Hana mamlaka ya kutoa hyo pesa Sio kweli.Mwenye mamlaka ya kutoa hyo pesa ni mbunge wakishirikiana na kamati iliyoundwa.Mkurugenzi ni signatori, ila mwenye kupanga matumizi ni mbunge mwenyewe kwa kuishirikisha kamati.Mbunge hana mamlaka ya kutoa pesa za mfuko wa jimbo ila ni mkurugenzi.
Hivyo hayo malipo wabunge wanastahili kabisa ili watatue kero ndogondogo za wapiga kura wao.
Haahaa ndo maana Safari hii aliamua kwenda kujiapisha mwenyewe na genge lake baada ya kulamba marupurupu toka 2005 hakuridhika.Kukaa miaka mitano mtaani bila marupurupu dada halima ilimshinda.Halima mdee
Huku mwalimu, askari etc wakitaabika.
Haahaa sio kikubwa kulinganisha na niniIt depends, ziko professional zingine kwa mfano, Pilots wa Tz, hulipwa mara 1 na nusu hadi mbili ya mbunge wa Tz.. Na Pilots wa nje ya Tz hulipwa hata mara 8 hadi 10 ya mbunge wa Tz.. Mm nadhani kiwango hicho sio kikubwa.
Nikiwaangalia walimuKwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao(sitting allowance) Tsh 220,000/=na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Watu wengine bwana, nimeweka taarifa sawa tu kuwa hiyo ni kama hajakopa coz 99% ya wabunge wanakopa.Utetezi gani huu? Kwa hiyo unaiondoa kwenye mahesabu? Bure kabisa!!
Unless anakuwa hatoi ila simu za kuombwa ela kwa ajili ya misiba ni nyingi sanaSiyo kweli, wote tunaishi majimboni na misiba inatokea, hayo ya mbunge kutoa hela kila msiba umetunga.
Hata wasiosoma au waliosoma bila kuelimika pia wamajazana Bungeni na kwenye mabaraza ya madiwani.Ndo mana wasomi wanakimbilia huko
Hilo ni sahihi kwani mbunge inajulikana kuwa ana hela nyingi ,lazima aombwe sana misaada.Unless anakuwa hatoi ila simu za kuombwa ela kwa ajili ya misiba ni nyingi sana
Naongea kwa uzoefu
Kama pesa zinatolewa kwa sahihi ya mkurugenzi basi mbunge hana sauti.Kusema mbunge Hana mamlaka ya kutoa hyo pesa Sio kweli.Mwenye mamlaka ya kutoa hyo pesa ni mbunge wakishirikiana na kamati iliyoundwa.Mkurugenzi ni signatori, ila mwenye kupanga matumizi ni mbunge mwenyewe kwa kuishirikisha kamati.
Miaka 5 wanachukua kiinua mgongo chao. Alafu walivyo hopeless sisi hawataki tuchukue zile 700k zetu kule NSSF ati mpaka tuzeeke.Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Matumizi gani?Umeongelea makadirio ya mapato. Sasa toa makadirio ya matumizi. Halafu utoe tathmini ya kinachobaki.
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaamini asilimia kubwa ya wastaafu hufa mara baada ya kustaafu.Miaka 5 wanachukua kiinua mgongo chao. Alafu walivyo hopeless sisi hawataki tuchukue zile 700k zetu kule NSSF ati mpaka tuzeeke.
Huwezi shtakiwa ila unaweza kosa kura uchaguzi unaofuataUsipotoa utashitakiwa?
Ulaji mzuri. Ila ni mzigo mzito sana kwa uchumi wa taifa na kwa kila raia.Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Bado Posho za kuchangia bungeni kuunga "MKONYO HOJA"....... Si unakumbuka Meko aliwapa mil 10 wabunge ili waunge mkono muswada flani uliletwa ka dharura.Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Umeona sababu ya usaliti wa covid 19 .Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.
Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Kiukweli hawa jamaa ni mabinafsi sana. Wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao tu. Shenzi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] wanaamini asilimia kubwa ya wastaafu hufa mara baada ya kustaafu.
I