naona mnafananisha simba na paka.
1. Daktari wa majuu anasoma kwa mkopo (mfano osap) akimaliza masomo analipa mkpo wake
2. Daktari wa majuu yupo dedicated hata saa saba usiku anakurupuka kwenda kutibia akihitajika.
3. Daktari wa majuu haweki tamaa mbele na haruhusiwi kugoma.
4. Daktari wa majuu anapenda kazi yake hatibii kama kazi anakuwa na passion, kama anamtibia mtoto mdogo basi ata m handle huyo mtoto kama ni wakumzaa mwenyewe.
Kule kwa wenzetu kazi ya udaktari ni wito kweli kweli na hata hizo pesa wanazolipwa ni ndogo sana kulinganisha na utendaji wao, na wao wamefundishwa kuokoa maisha popote pale walipo hata asipokuwa kazini akiona sehemu ujuzi wake unahitajika hata barabarani atatoa huduma bila kuuliza kwanza malipo au daftari la kusaini.
Acheni kufananisha simba na paka.
kwa kawaida hata bubu akizidiwa hutaka kusema!kwa kuanzia tu naomba nikuambie jamii ya mtanzania leo si ya jana!
Moja ya kazi zinalipa vizuri na kuheshimika usa ni udactari zikifuatiwa na kada nyingine za kisayansi.katika jamii ya kimarekani ukiwa dr unachukuliwa ni kati ya watu matajiri na wa ngazi za juu kabisa.hivyo si kweli unapojaribu kupotosha wana jf hapa.
Daktari wa kimarekani akiudumia wagonjwa wengi kwa siku ni nane,na hiyo ni ktk baazi ya majimbo.katika hali hii atakaa na mgonjwa wake kama ambavyo art ya kuchukua history ya mgonjwa inavyotaka.hapa kwetu ukiwa opd m/nyamala na ukakaa kwa muda mrefu na mgonjwa,walio nje wanakufuata na kukuambia ukaze mkono kana kwamba unafanya kazi ya kupanga matofali!kama una akili utaona hapa dr anapata changamoto mbili za msingi achilia mbali nyingi nyinginezo.kwanza idadi ya wagonjwa ni kubwa kuliko binadamu yeyote anaweza kuihudumia na kuwa na ufanisi wa asilimia mia kwa sababu zifuatazo
-hana muda wa kutosha kukaa na mgonjwa kuweza kufikia hatua ya kumaliza historia ya mgonjwa kama ambavyo ingepasa!
-uchovu unaotokana na kusikiliza wata zaidi ya 50 with different prpblems in just a few minutes with different challanges!
Lakini pili ambalo pia ni la msingi ni kwamba tunadili na watz wengi wao wakiwa na akili kama zako,wanaoamini dktari ni aina fulani ya mashine na anapaswa akiona tu mgonjwa dakika tano awe amejua shida yake.hawa hawaelewi ukikaa na mgonjwa na kuhojiana nao kwa muda mrefu.haya nayosema yanatokea kila siku katika public hosp,just do your h/w!na maanisha madaktari hufikia kutukanwa na wagonjwa kisa amekaa na mg kwa muda wa kutosha.
Kitabubu yapo magonjwa au conditiona ambazo humchukua dr seconds kujua shida ya mgonjwa.lakini zipo shida ambazo humchukua dr siku hata miezi mpaka kutambua shida hasa ya mg!
Siku iliyotangazwa kuanza mgomo hapa ndio siku ambayo pia madr wa uingereza walitangaza mgomo.labda utujuze wana jf uingereza iko katika sehemu gani ya bara la afrika!
Kimsingi mtu yeyote duniani bila kujali aina ya kazi anayofanya,yakimzidia hutafuta njia yoyote ile ili ajiokoe,na hili ndio chimbuko ya world unrestlessness today.achilia mbali madr hata wanajeshi hugoma kwa kile kinachoitwa uhasi kwa serikali!kwa akili mnazotumia sasa sioni kama tuko mbali na hilo.madr wanandugu,marafiki,wazazi,wake,waume na raia tu ambao ni maaskari!endeleeni na ufisadi wenu huku mkiendelea kudhani watanzania ni majuha.siku moja hata mubarak alikuwa anaamini hawezi kuguswa.siku moja alikuwa na watu ambao walikuwa na watu ambao walikuwa wanamuandikia propaganda kama inavyofanywa na baadhi ya watu humu.kumbuka kina mobutu,abacha,gadafi na wengine
wengi ambao baada ya kulewa ulevi wa madaraka,na kuanza kuamini wao ni miungu watu nakilichotokea.
Kunatofauti gani ya pesa iliyowekwa na charles taylor uswisi na hizi tunazozisikia sasa!?najua sasa hivi mnaamini hamgusiki na mnaona nyinyi mko class nyingine,lakini wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu,aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa na kila lenye mwanzo linamwisho.damu ya dr uli haitakwenda bure!endeleeni tu,maana serikali zote za kidharimu,zilipokuwa mwishoni,zilisahau kabisa usemi wa wahenga ukila na kipofu usimguse mkono.nyinyi sasa hivi mnamakata mkono.
Kama muna moral consciousness na msikie yanayosemwa na watzd ambao hawako biased na hivi vijihera vyetu vya kodo mnavyotumia kuwanyamazisha watz.naililia nchi yangu.jf itakumbukwa daima kuwa kuna watu wenye busara walipata kuionya serikali kupita humu.amen