Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

CHIZI WW,uwalimu unasomea miaka mingapi?

naomba mweleze vizuri - qualification entry ya kuingia ualimu ni nini??? Division IV - waweza kuingia chuo cha ualimu
na madaktari je????

Hata hivyo hata walimu anaosema hawaridhiki na kipato chao ............yaani sijui watu wengine wanafikiriaje???

POKEA THANKS YANGU!!
 
Very poor comparison! Mishahara hapa kwetu "Govt Salary Scales" iko chini toka kwa mfagizi hadi juu ukilinganisha na nchi nyingi zilizoko duniani. Halafu mbaya zaidi unafanya mlinganisho na nchi ya Marekani, ambao wametupiga gap ambalo hata miaka 50 ijayo hatuwezi kuwafikia kwa lolote. Nakerwa sana na threads kama hizi, kama ningeweza kuota kilichoandikwa ndani ya thread wala nisingekuwa nafungua.


Usipende kukerwa kiasi hicho. Pentium 4 ikionekana Ulaya leo hii, kesho utaikuta ofisini kwa katibu mkuu wako. Mshahara wa mbunge wa ulaya ukiwa Euro elfu 8, kesho bunge letu linapandisha na kujilinganisha hivyo hivyo.

Angalia viwango vya per diem vya kimataifa (UN). Havizidi dola 200 kwa siku. Imekuwaje afisa wa TZ akienda ulopu alipwe dola 450 kwa siku? euro zaidi ya 300?

Tusipende kukataa ulinganifu pale tunapoona hatupendi na pale tunapopenda tunaweka sababu za kipuuzi kuhalalisha uozo.
 
.....kada nyingine pamoja na mishshara midogo kila mwisho wa mwezi bodi ya mikopo wanakinga bakuli uwarudishie hela zao kutoka kwenye mshahara lakini daktari alisoma bure hadaiwi hata senti toka loan's board.
Hapo UMEDANGANYA umma, nenda bodi ya mkopo watakujibu vizuri kuhusu kuwakata madaktari kama kada zingine......wanaolipiwa na wizara tu ndio hawarudishi hiyo hela na inajulikana kama grant(ruzuku)kwa vyuo vya private nafasi 25 tu hutolewa kwa ajili ya hiyo grant. Usikurupuke kutoa hoja bila hata ya kuwauliza subjects na ujue kuna tofauti ya grant na loan kwa wanafunzi wa udaktari.
 
Mwanamutapa Kama wangekuwa wanafanya hivyo basi hii migomo isingeonyesha impact kabisa, kama wagonjwa huwa hawahudumiwi na madaktari wengi bali ni wachache na ilihali kuna wachache waliobaki hawakugoma kwanini uwalalamikie warudi wakati huwa wanapiga domo na kujifungia ofisini?
Halafu kumbe wafanyakazi wa TRA sio wa serikali?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom