Malipo ni hapa hapa, nimeamini huu msemo

Mkuu udhaifu wa mwanaume mara nyingi upo chini ya kitovu cha mwanamke, na sio kila mwanamke ni baraka kwako wengine wanakuja kwako kukuletea mikosi na balaa, kama alishaondoka na mkaishi kama marafiki usijaribu kupasha kiporo huezi juwa safari hii ata kuja na baraka au balaa kuwa makini maintain urafiki piga kazi mwombe Mungu ata kuonyesha alie sahihi kwako.
 
Hili nalo neno
 
Ukirudiana nae ndio utaenda kufutwa kazi, na utayumba mpaka ushangae . Kihalisia mwanamke akisha zaa na mtu sio mwanamke wa kuwa nae tena , Bond ya kuzaa na mtu haifutiki kamwe .

Ushauri , Achana nae kila mtu apite kona yake
....Una point Mkuu. Ninakuunga mkono has a kuhusu hill LA Bond ya watu waliozaa pamoja kutofutika daima.
Ni kweli.
 
Mbona wanawake wamejaa wengi sana unakula vya kubakiziwa?
Ukizinguka Kaskazini,Mash,Magh,Kus wamejaa kila aina
 
''...Stay on the right path even if you have to walk a lone...'' By MSM
 
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
Kwahiyo kijana umeamuaje mpaka sasa hivi ?
 
....Una point Mkuu. Ninakuunga mkono has a kuhusu hill LA Bond ya watu waliozaa pamoja kutofutika daima.
Ni kweli.
Hiyo kesi ya huyu jamaa imeshawahi kunitokea na mimi, Kuna mwanamke nilimpenda sana nikamfanyia kila kitu baadae alikija kuniacha kimadharau sana tena kibabe kwelikweli, alinitukana matusi sana tena matusi hasa.

Nikaskia fununu amempata mtu mwingine na anataka kuolewa mwanaume nikapiga simu niliogeshwa matusi mia kidogo tena wanatusi lao zuri sana akasema WEWE HUNIRIDHISHI . Aise niliumia sana sema kipindi hicho nilikiwa na wanawake wengi sana nikapiga kimya maisha yakaenda mbele.

Nikakaa kimya bila kumtafuta kama miaka miwili hivi , nikashangaa simu moja simu ikapigwa namba mpya kabisa nikapokea mtoto analia nikauliza nani mwenzangu.

Akasema mimi flani nikamwambia mbona mtoto analia sana hatusililizani , akajibu mtoto amenimis sana , nikamjibu sawah .

Akaanza kujichekesha unajua niliolewa kwa bahati mbaya , wewe ndio ulikuwa wangu, mara walinilazimisha mambo kibao. Nikashangaa sana kisa alisikia nafanya kazi sehemu fulani mjini naona alitamani kujua ukweli .

Hivyo basi , wanawake wengi ni wavurugaji ukiachana nae ukapata mafanikio ndugu kuwa makini sana maana lazima atakuja kukutafuta akuharibie .

Wengi wanapenda ukiachana nae upoteze dira kabisa tena kiwezekana uwe unamkumbuka kila wakati kuwa makini sana ndugu kama unapenda maisha yako.

Kingine huyo mwanamke ameshazaa na mtu , hupaswi kuwa nae hata kidogo unless ungekuwa hujawahi kuwa nae katika mahusiano kabla .

Huyo anafuta mafanikio yako na nirahisi kukushusha chini usipokuwa makini.
 
Mtu unaempenda n rahis sana kukuangamiza. Hili bandiko nimelisoma nmekasirika sana hivi anaruhusuje mawasiliano na mtu kama huyo? Once akijirud tu iwe kwa kupasha kiporo au vinginevyo kuna posibility kubwa ya yeye kudhurika. Siku zote aliekupoteza huwa anatumia kila mbinu ili akupate tena hata kama mbinu nyngne sio sahihi. Mleta mada kuwa makini sana ningekuwa ni mimi ningeblok kila kona nisijue wala kuona chochote kuhusu yeye.
 
[emoji1666] nakubaliana na wewe asilimia mia , huyu wangu alikuwa anapiga simu kila mara , text kila mara, nimekausha tu simjibu kitu kila nikiblock namba anatumia mpya , nikaona isiwe kesi nikatumia uanaume wangu.

Nikamwambia mbona unanisumbua sana, alichonijibu kilinishangaza ,

Akasema sikuhizi tumeanza kuekeana mipaka , kuna mipaka nikashangaa mwanamke tumeachana miaka mitatu ananiuliza tumeanza kuekeana mipaka?

Nikajua hapa nafuatiliwa sana nikamwambia mazoea na mimi naomba yaishe kwanzia leo . MCHEZO UKAISHIA HAPO.
 
Ulifanya vyema sana mkuu. Mleta mada anatakiwa apate utulivu na kazi aliyoipata ni mapema sana kuanza kujistress tena na mtu ambae alishamdharau kwa kiwango cha lami. Aelewe tu huyo dada anachotafuta ni pa kuponea/unafuu wa kimaisha na ameshaona kwa huyu panamfaa sasa kitakachoenda kutokea ni yeye kufght kwa kila namna ili ampate huyu jamaa na ndipo tatzo litakapoanzia ila huyu bwana bado hajaliona hili anaendeleza ukaribu ambao unaweza mgharimu maisha yake yote na wanawake wapo wengi mno.
 
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
Usithubutu hata kidg kurudiana naye huyo mwanamke maslahi hakufai kabisa tulia na tena umepata kazi watakuja wengi ila uwe mwangaifu kuchagua.
 
Hayo malipo yanatoka lini wengine tulipwe, sina hata kumi hapa mfukoni 😥
 
Ndo shida yakuwa mpole sanaa

Kwa mimi sidhani km ex wangu anaweza kurudi kwangu tukishaachana

Kila mwanamke anamwanaume ambaye uwaga anamuona zezeta flani

Usikubali kuwa wewe
 
Nawewe kuwa mwanaume mshaachana mawasiliano ya nini
 
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
Kwa Kumuepuka ungemwambia una mwanamke tayari, umekua mdhaifu sana na wewe, demu anakuona boya, yani tangu umeachana nae kila akikutafuta upo single, huna mwanamke, unatakiwa umuonyeshe ulishamsahau na uli move on na mwanamke mwingine
 
Mrudie Mkuu, Mlee Mtoto, Mtoto ni Malaika. Atakuwa amejifunza kitu. Hata ukitafuta mpya wanawake ni wale wale tu. Bora huyu amejifunza tayari. Ukifata huu ushauri utakuwa mpumbavu.
Nilikuwa nakuvutia pumzi mkuu[emoji23]ila umemaliza vyema
 
Back
Top Bottom