Malipo ni hapa hapa, nimeamini huu msemo

Mkuu ushauri wangu ni kwamba kama una njaa wee mtafune tu kama kawaida , hayo mambo ya alikuachia maumivu achana nayo.

Kama ni mtoto mzuri analipa nakushauri Tafuna
 
Sasa ktk hili unataka tufanyeje sisi! Ok, ok, pole basi!
Hongera kwa kupata kazi serikalini! Mkubalie muishi wote usije tumbuliwa bure baadae naye akaja na uzi wa 'malipo ni hapahapa duniani'!
Ova!
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
 
Eeeh sasa mwanawane hapo ndio unatakiwa na wewe uisasambue papuchi na kumbwaga....ila hakikisha unatumia ndom asije kulengeshea mimba
 
nenda kapashe kiporo, this time mle tigo af mteme

ila hii chai mbona kama ya baridi ?
umenikumbusha mbali sana.kipindi msela wetu ana migogoro na mzazi mwenzie!!mwanamke alikuwa anamtesa sana msela wetu hadi ilifikia jamaa akawa chizi fulu yaani...
demu anachepuka mbaya kbs mara leo yuko baa na michepuko yaani hatuliii!
ili masela tumuokoe jamaa na ule wehu wake ikabidi tuiingie kazini kumbembeleza yule dem arudishe moyo kwa msela wetu..
tukatengeneza maeneo mazuri ya gesti tukampeleka manzi baada ya kumpa gambe vizuri.
tukampaki afu tukambeba mchizi wetu na kichaa chake tukamuacha hapo gesti tukakaa nje tunaskilizia..
asee alimpakua mbaya mbovu mdaa mrefu tumekaa tunasubiri ikabidi kuingia daaaahhh geto lote limejaa maav yenye mboga mboga za majani..hehehehe mchiz akaoga fresh tukasepa toka hapo na kichaa kilipona na sshv ana mke mwingine life goes on
 
Mrudie Mkuu, Mlee Mtoto, Mtoto ni Malaika. Atakuwa amejifunza kitu. Hata ukitafuta mpya wanawake ni wale wale tu. Bora huyu amejifunza tayari. Ukifata huu ushauri utakuwa mpumbavu.
Hahahaha....daah jf bwana
 
umenikumbusha mbali sana.kipindi msela wetu ana migogoro na mzazi mwenzie!!mwanamke alikuwa anamtesa sana msela wetu hadi ilifikia jamaa akawa chizi fulu yaani...
demu anachepuka mbaya kbs mara leo yuko baa na michepuko yaani hatuliii!
ili masela tumuokoe jamaa na ule wehu wake ikabidi tuiingie kazini kumbembeleza yule dem arudishe moyo kwa msela wetu..
tukatengeneza maeneo mazuri ya gesti tukampeleka manzi baada ya kumpa gambe vizuri.
tukampaki afu tukambeba mchizi wetu na kichaa chake tukamuacha hapo gesti tukakaa nje tunaskilizia..
asee alimpakua mbaya mbovu mdaa mrefu tumekaa tunasubiri ikabidi kuingia daaaahhh geto lote limejaa maav yenye mboga mboga za majani..hehehehe mchiz akaoga fresh tukasepa toka hapo na kichaa kilipona na sshv ana mke mwingine life goes on
Duuuuh
 
My friend nakushauri hivi,
kama unamfahamu Usain Bolt baaaaaasi fuata nyayo zake,
Yaaaaani ndukiiiiiiiiii spidi 100
Usigeuke kumtazama huyo single mom !

Au nadanganya ndugu zangu?
 
Huyo anaupenda mshahara wako aje autafune, sio amekupenda wewe. Kuwa makini.
 
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
Nakushauri tu....

1. Kazi ni utumwa then jipange ku "save" mshahara wako Ili uwe mtaji wa side hustle.

2. Mimi niko serikalini tokea mwaka 2014, na sijawahi ona Kazi ya maana serikalini.
Hakuna(ga) KAZI YA MAANA serikalini. Zingekua za maana watumishi wasingekua wanalilia increments na madaraja.

#YNWA
 
Ufahamu ndio kipimo kinachowatenganisha wanadamu na wanayama wa mwituni.......matumizi sahihi ya fahamu zako ndio vitakuweka mbali na shari za ulimwengu.....matumizi mabaya ya ufahamu wako ndio vitakufanya uione dunia kama jehanamu.....maana mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake........

Kwa mtiririko wa maelezo ni wazi kuwa wewe una tatizo kubwa kwenye matumizi ya fahamu zako......na huyo binti ameshagundua mwanya huo na anautumia vyema......
Asante mkuuu kwa maneno yenye hekima.

Ukajaaliwe kupata haja ya moyo wako.
 
nenda kapashe kiporo, this time mle tigo af mteme

ila hii chai mbona kama ya baridi ?
Hata mimi nimejiuliza hili ...
1. Miaka minne atoka amalize chuo SAWAA
2. Walidumu miaka miwili SAWAAA.
3. Waliachana baada ya demu kupata mimba ya mwengine SAWAAA
4. Baada ya yeye kupata Kazi demu ana mtoto wa miezi 6 SAWAA

Ila sasa, anasema kila alipokuwa anamtafuta demu alikua ""akikaa miezi kibao then anamtafuta Tena"" na hapohapo demu ana mtoto wa miezi 6.

HUO UKIBAOO WA MIEZI UKO WAPI?

kujifanya mjuaji [emoji3]
 
Back
Top Bottom