Malipo ni hapa hapa, nimeamini huu msemo

Hata mimi nimejiuliza hili ...
1. Miaka minne atoka amalize chuo SAWAA
2. Walidumu miaka miwili SAWAAA.
3. Waliachana baada ya demu kupata mimba ya mwengine SAWAAA
4. Baada ya yeye kupata Kazi demu ana mtoto wa miezi 6 SAWAA

Ila sasa, anasema kila alipokuwa anamtafuta demu alikua ""akikaa miezi kibao then anamtafuta Tena"" na hapohapo demu ana mtoto wa miezi 6.

HUO UKIBAOO WA MIEZI UKO WAPI?

#YNWA
kashika mimba miezi 9 mtoto ana miezi 5 kwa akili hapo ni mwaka na miezi 5 . Kwa akili yako hapo unaona muda mdogo sana huo kupigwa matukio kama haya
 
Tatizo tunajitutumua humu kumpa ushauri mtoa mada usimrudie usimrudie wakati wamelala sasa hivi kitanda kimoja wanapasha kiporo
 
umenikumbusha mbali sana.kipindi msela wetu ana migogoro na mzazi mwenzie!!mwanamke alikuwa anamtesa sana msela wetu hadi ilifikia jamaa akawa chizi fulu yaani...
demu anachepuka mbaya kbs mara leo yuko baa na michepuko yaani hatuliii!
ili masela tumuokoe jamaa na ule wehu wake ikabidi tuiingie kazini kumbembeleza yule dem arudishe moyo kwa msela wetu..
tukatengeneza maeneo mazuri ya gesti tukampeleka manzi baada ya kumpa gambe vizuri.
tukampaki afu tukambeba mchizi wetu na kichaa chake tukamuacha hapo gesti tukakaa nje tunaskilizia..
asee alimpakua mbaya mbovu mdaa mrefu tumekaa tunasubiri ikabidi kuingia daaaahhh geto lote limejaa maav yenye mboga mboga za majani..hehehehe mchiz akaoga fresh tukasepa toka hapo na kichaa kilipona na sshv ana mke mwingine life goes on
Mbona nahisi kama naona picha ile ya waziri mkuu wa india na Obama wakinywa chai
 
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
mkuu kwanza usije ukampa hata kumia pili usirudiane nae hata kwa dawa na wala usi mkaribishe kwako... hao viumbe huwa ni kuwa kauzu tu hamna namna
 
Mwambie upo bize na hutaki usumbufu,aisee ukirudisha majeshi nyuma utakua fala sana
 
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"

Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.

Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
Kuwa tu kama Billnass sema Nandy anajibebisha wakati ana hela
 
Back
Top Bottom