Nimesoma vizuri lakini mwishoni nilipokutana na neno demu,nikaamua kuirudisha huruma yangu moyoniNi miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"
Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.
Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
[emoji3][emoji3]Mrudie Mkuu, Mlee Mtoto, Mtoto ni Malaika. Atakuwa amejifunza kitu. Hata ukitafuta mpya wanawake ni wale wale tu. Bora huyu amejifunza tayari. Ukifata huu ushauri utakuwa mpumbavu.
Ukiona unaanza kuwaelewa wanawake jua unakaribia kufa 😂Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"
Nikamjibu hapana bado naunga unga, baada ya lile jibu akapotea miezi mingi tu, sasa hivi tunavyoongea nimebahatika kupata kazi ya maana tu serikalini nina miezi mitatu tangu niajiriwe huyu binti juzi Jumamosi alinipigia tena kunijulia hali na kuuliza nimepata kazi nikamjibu ndio nimepata tena serikalini, mara akaanza kunisifia sifia, mara ooh uje umuone mwanao kwani wewe ndie babaake orijino nkamwambia sawa ntakuja kumuona unaishi wapi sikuizi akajibu bado yupo kwa mamake Kinondoni, nkashangaa haishi tena na yule jamaa aliempa mimba, sasa tangu jana ameanza kujibebisha sana mara ooh ulikuwa na mwanamke mara kwanini ulinipotezea mambo kibao.
Mtoto wake ana miezi sita tu lakini huyu binti anataka kurudisha mahusiano kwangu na kusahau pain aliyoniachia kipindi kile, kula muda wangu na kula mali zangu. ASEE NYIE MADEMU JITAZAMENI MARA MBILI HIZI TAMAA ZENU MBAYA SANA. Huyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
Anaitwa KapepoUnaitwa nani tena vile?
Basi majibu anayo kwa yalomtokeaAnaitwa Kapepo
gusa unate uje kulialia tena hapaHuyu baada ya mimi kupata kazi sasa anataka mahusiano upya
We jamaa😀😀😀😀😀nenda kapashe kiporo, this time mle tigo af mteme
ila hii chai mbona kama ya baridi ?
Sasa sikia we mkubalie,na akija mwambie wewe siku hizi unasafiri saba kwa mpalange,akikupa mpakue sanaNi miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu baada ya miaka miwili ya mahusino tuliachana baada ya yeye kubeba mimba ya mwanaume mwengine, kwa kejeli na dharau aliamua kunitamkia ameamua kumzalia huyo mwanaume kwani anampenda sana na pia kaamua waishi wote kulea familia, nakumbuka nilichomwambia sawa kila la kheri, miezi michache mbele alinitafuta kunijulia hali nikamuitikia vizuri tu, baada ya salamu akaniuliza "hivi ulishapataga kazi?"