Malipo ni hapa hapa duniani


malipo si lazima uyaone wakati unawavuruga subiri utakapoona video za mwanao wa kike wanavyomvuruga weee tena wanamvuruga kwelikwel
 

Umeongea kwa hisia sana mkuu ila kundi kubwa la dada zetu nao pasua kichwa siku hizi we tulia nae mwenzako anakitembea kwingine yan full mvurugano ktk mapenzi wanapenda kuchezea wenyewe baadhi yao.
 
ha!! ha!! ha!! ha!!
mkuu jinsi nilivyowavuruga aiseee nikipata mtoto wa kike nam'bikiri mwenyewe!!! hata wawe kumi nabikiri wote!!!

Hahahaha, what I heard wazazi huwa wanafadhaishwa sana kama watoto wao wa kike wakitoka nje ya mstari, just wait kama utapata utajua.

Pia adhabu yaweza geuka, huyo bikra uliempata baadae akawa chawote kuliko uliowaona na kuwaharibu...
 
Hahahaha, what I heard wazazi huwa wanafadhaishwa sana kama watoto wao wa kike wakitoka nje ya mstari, just wait kama utapata utajua.

Pia adhabu yaweza geuka, huyo bikra uliempata baadae akawa chawote kuliko uliowaona na kuwaharibu...

kama akiwa cha wote naye ataungana na wale niliowachezea nashusha windows natafuta kigoli kingine maisha burudani kabisaaaa!!!!!!!!
 
Uko emotional sana but ngoja nikwambie hawa wanawake wewe wakamue tu usilete ustaarabu wa kuwa thoughtful. Guys like you always lose. Unafikiri badboys hawakuwa naive kama wewe? Wanawake hawana misimamo. Kwa ufupi hawana ramani ya vita. Hata ujifanye zoba vipi, ukikutana na kicheche lazima agawe punani. Wewe peleka mashine tu and let the ball bounce where it may. Mimi najua wake za watu ambao waume zao ni very decent lakini wanakamuliwa kama hawana akili nzuri vile. Hii mambo haina formula. When you come across a fool get all that you can get.
 
kweli kabisa...UMEONGEA



 
Dua la kuku halimpati mwewe. Wakati mwingine unaweza get away kutoka kwa maovu uliyoyafanya.
 

Hahahahaaaa, hiyo niliikuta sehemu mzee analalamika kwa mkewe kuhusu binti yao kugawa papuchi mmama bila hiana kampa makavu baba fulani unakumbuka enzi zako hayo ndo malipo yako.
 



Usitangaze ushindi kabla pambano halijaisha....wewe omba Mungu tu yapite mbali kuna watoto.
 
ha!! ha!! ha!! ha!!
mkuu jinsi nilivyowavuruga aiseee nikipata mtoto wa kike nam'bikiri mwenyewe!!! hata wawe kumi nabikiri wote!!!

Wewe unawalaani uzao wako mwenyewe, asikudanganye mtu utakopojaziwa wajukuu wasio na baba na watoto wenye ukimwi utakumbuka tu
 

hizi ni imani potofu tu ... na walasijui kwanini unaamini ktk fikra nyeusi kama hizi..... hakuna ukwelk wowote hapo.
 

hii kauli ilibadilisha maisha yangu kutoka hali flan kuja hali niliyonayo sasa na huwa naiamin sana..
..........USIKIONEE HURUMA KIUMBE USICHOKIZAA....... Kwahyo mtoa maada hilo lisikuogopeshe fanya kile roho inapenda
 
Life is too simple! EITHER YOU BECOME A PREDITOR OR A PREY! No need of being sentimental! It wont change shit! Ukichoka kuwa prey, become a preditor then!
Leo umeongea kitu kimenigusa lara 1....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…