maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
Ama kwa hakika hii nchi ina wazee wenye busara sana kazi imebaki kwetu tu kwenda kuchota busara hizo,baada ya mzee Jecha kufanya kitu flani amaizing kule zenji, leo Jamal malinzi wa Tff aliamua kufuta matokeo ya 4-0 na kuwapa somalia magoli manne hivyo ikawa 4-4.
wakati mwingine busara na hekima hutumika,sheria na katiba tupa kule.
wakati mwingine busara na hekima hutumika,sheria na katiba tupa kule.