Malinzi acha kutudanganya , tena acha.


una uhakika na hizi hesabu?,usinilazimishe niongee ambayo hayaongeleki.
 
ameanza kuwa msanii mapema hv

ama nani amjui malinz

hzo pesa anajua anazirudishaje lakni c wale wa kuree bk

hawa rete soda hawa rete bia hao wape heineken

hapo ni harusn

tff c hatari

ahsante pdidy,Mungu ni wa wote.
 
Inavyoonekana uamuzi wa kumtimua Polsen ameufanya yeye binafsi ndio maana imebidi alipe fidia ya kuvunja mkataba.Sasa sijui hizo kamati alizounda na mshauri wake wanafanya kazi gani

Give me break!
 
Binafsi hawa huyu jamaa namuweka kwenye kundi la kina Rage na Ndolanga ni watu wanaofanya kazi kwa kujua fitina xa mpira wa bongo lakini kiukweli hawana uwezo wa kuongoza.

Biashara zake mwenyewe ni full ujanja wa mjini.
 
Mie niliisha muuliza sababu za kufuta (si kusitisha) utaratibu wa tickets za kielectronic lakini sababu alizotoa ni hafifu cha ajabu anatueleza eti TFF haina pesa!!!!! Bila kuficha utaratibu huu wanaoutumia ni kujinufaisha wao binafsi.
 
Uongozi kweli unahitaji moyo.

Sio moyo tu, hekima na bushara kubwa sanaaa.... usipoocheza na watu mkuu, utapata shida sana kuongoza TFF humu ndio walikupigia kampeni ukashinda leo umewatupa kwa uwazi, haki na kujibu majibu mepesi kwa maswali magumuuu

Ulilokosea kabisa ni....
 
Ndugu zangu,nia thabiti ya kujenga mpira tunayo.Ninakuombeni tushikamane katika kutimiza adhma hii.Tutake tusitake lazima mpira tuuendeleze kuanzia hatua za awali ,grassroot,na tukijaliwa hilo tutalifanya.Hakuna sababu ya kushughulikia mtu tushughulikie issues.Nashukuru Mungu alinipa kifua cha kupokea matusi ya kila aina bila kukasirika.
Ahsanteni wote,naiaga hii thread.
 
Mie niliisha muuliza sababu za kufuta (si kusitisha) utaratibu wa tickets za kielectronic lakini sababu alizotoa ni hafifu cha ajabu anatueleza eti TFF haina pesa!!!!! Bila kuficha utaratibu huu wanaoutumia ni kujinufaisha wao binafsi.

Jacobus i happen to be still around,la electronic nilikujibu,kama ulitaka yatokee maafa niambie.Tukisharekebisha kasoro utaratibu wa electronic ticketing utarudi,tuwe na subira.Unless Jacobus una alternative idea.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hivi unajitambua kama ni rais wa taasisi kubwa inayosimamia soka hapa nchini? Sasa kujifanya kuwa mshauri wa klabu maana yake nini? Au ndo damu nzito kuliko maji? Unajishushia hadhi hata hivo.
 
Jacobus i happen to be still around,la electronic nilikujibu,kama ulitaka yatokee maafa niambie.Tukisharekebisha kasoro utaratibu wa electronic ticketing utarudi,tuwe na subira.Unless Jacobus una alternative idea.
Mkuu inakera kukusikia ukilalama kuwa TFF haina pesa wakati dawa ya kudhibiti mianya ya upoteaji pesa za mechi umeifungia kabatini. Nakupongeza kaka kwa hili la kuwa nasi humu japo maneno tutumiayo wakati mwingine yanakukera.
 
Last edited by a moderator:


Mheshimiwa kuna hoja za msingi sana zimezungumzwa huku lakini unazikwepa,naomba utolee ufafanuzi yafuatayo


 

Waandishi watanzania kiboko.. Nikiskia kwa maskio yangu Malinzi alisema hivi makubaliano ya kuhitimisha mkataba na poulsen ni siri kati ya Serikali, Poulsen na TFF... sasa yule mwandishi akasema kuwa malinzi kasema katoa fedha zake mfukoni... nikajiuliza wapi amesema au ni kutoka nyuma ya kabati??.? Mwenye vidhibitisho aanike....
 
Last edited by a moderator:
Kwenye ile thread yake nilimuuliza alifuata nini kwa Lowassa na hajajibu mpaka leo.............mbabaishaji tu.......unamuondoa Paulsen na kumpa timu Madadi?


Tatizo la watanzania ni kwamba eti hata ukifanya kosa either la ukweli ama urongo basi lazima utengwe, why??? Kwani lowassa na malizni hawawezi kuwa marafiki???? Mbona tuna mawazo finyu sana... kwamba nikiongea na lowassa badi ninampango nae!!! Acheni kuwa na fikra potofu sio kila muongea na muhalifu basi nae ni muhalifu na huyo lowassa mna mhukumu wakati hamjui ni nini kilichopo nyuma ya pazia sisis tuna hukimu kwa kusikia maneno ya waandishi amabao wengi wauongo...
 
Uongozi kweli unahitaji moyo.

Jibu hoja mkuu, acha kulalamika..Kuna bullet tano kwenye hoja yangu zinazoitaji majibu.
kwani ulitegemea ukiwa kiongozi tusikuhoji??kweli?? tupe ufafanuzi please
 
Kuna makabila mawili ukimkuta Muhaya kasoma nani boss ni tabu sanaaaaa atakuwa anafanyakazi zote peke yake, au muha ni tabu sanaaaaaa.....
Bosi akiwa Muha inakuwaje Mheshimiwa, napenda kujua.
 
kaka yangu Jamali malinzi nakupongeza sana kwa kuweza kujibu maswali ya wadau kwa ufasaha na kadri ulivyo weza. Kwa hakika baadhi ya maswali ya wadau yatakujenga katika mabadiliko ya utendaji wako. Ila tambua maswali mengine yanatoka kwa wapinzani wako ambayo kimsingi utayafahamu tu. Uvumilivu na hekima uliyo nayo ndio msingi. Ushauri wangu kwako gawa majukumu kwa asilimia 75 na wewe ubakiwe na asilimia 25. Ni hilo tu kaka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…