Siku hizi mekuz pamefungwa! Imebaki sheli tuu
Hatari ya nini my dear!! Palikuwa panapendwa hatari!!Ilikuwa hatari sana bana........sikuwahi kupaelewa kabisa.......
mfukunyuku wewe ushafika hadi malindiLive band ya palee naipenda sana looh nataman kurud moshi tena
kuna ki restaurant pembeni wana supu taaaamu balaaRau pub. Mbuzi wao mtamuUshirika Chuoni
Rau Pub...
dah, I really miss the places!


Wacha kabisa!Rau pub. Mbuzi wao mtamu![]()
Wee mwenyewe mfukunyuku uje chemba umchukue mukee yako wewe shemelaaamfukunyuku wewe ushafika hadi malindi![]()
![]()
kuna ki restaurant pembeni wana supu taaaamu balaa
Rau daaah... umenikumbusha mmakonde wangu kulee Rau Vet njia pandaUshirika Chuoni
Rau Pub...
dah, I really miss the places!
Pub Alberto watu walihama kisha wakarudi. Moshi ilikuwa saaaafi na tamu sana aisee. NitarudiKitambo sana hii sijui kama bado ipo. La liga kwa mr.price jamaa alifanya tuihame alberto.
kweli?December mwisho ni nilikua apo juzi tu palikua poa tuSiku hizi mekuz pamefungwa! Imebaki sheli tuu
na makumba bay bado ,pakishua palikua mbege grass tu buku tatuMalindi Mekuz na Chris Burger. I miss Moshiii![]()
Haha, Rau Vet baba...Rau daaah... umenikumbusha mmakonde wangu kulee Rau Vet njia panda