kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 165
- 137
Mkuranga nijimbo ambalo watu wake wamelala usingizi wa hajabu,na katika maajabu 7 yanayo pigiwa kura na ili lingeongezwa likawa la 8.na mpaka waje kuamka bilashaka tutakuwa kwenye kalne ya 35.Malima Leo katika magazeti amesema ,Msigwa Sugu na Silinde hawana sifa za kuwa viongozi, huyu ni malima anayetembea na silaha za kivita,akiwa kwenye mahoteli na Malaya ,jimbo lake la mkuranga umasikini na ujinga Ndio kwao,huyu bwana anayebebwa na jina la baba yake anakipi cha kuwakosoa wa bunge wachadema wa nyandaz za juu kusini..........nawasilisha
Nasikia yalikutwa kwa mama ndogo wake na yule naniiiiiiiiiiiiiiiii.vipi walisharudisha mapete yake?
Malima Leo katika magazeti amesema ,Msigwa Sugu na Silinde hawana sifa za kuwa viongozi, huyu ni malima anayetembea na silaha za kivita,akiwa kwenye mahoteli na Malaya ,jimbo lake la mkuranga umasikini na ujinga Ndio kwao,huyu bwana anayebebwa na jina la baba yake anakipi cha kuwakosoa wa bunge wachadema wa nyandaz za juu kusini..........nawasilisha

Some times waache wabunge wajibu wenyewe especially kama kuna facts kama unavyo zitoa wakishindwa waombe msaada au ni dhaifu kiasi cha kulindwa na kusaidiwa muda wote?
Mkuu kamandamakini Iringa hawajambo? Mguu ulipona? Piga kazi kaka 2015 haipo mbali Jesca ndo huyooooooo anakuja kwa kasiMalima Leo katika magazeti amesema ,Msigwa Sugu na Silinde hawana sifa za kuwa viongozi, huyu ni malima anayetembea na silaha za kivita,akiwa kwenye mahoteli na Malaya ,jimbo lake la mkuranga umasikini na ujinga Ndio kwao,huyu bwana anayebebwa na jina la baba yake anakipi cha kuwakosoa wa bunge wachadema wa nyandaz za juu kusini..........nawasilisha