Ni Kama unawashwa vileUkweli mchungu eeee?
Pole mkuu kama imekuchoma.
Maana naona na wewe hupendi kukosolewa.
Hujisikii aibu kudanganya weye mwanaizaya? Wapi kasema manunuzi ya nywele za maiti?
Onyesha hapa sasa hivi
Hivi Mshana...Wewe na FaizaFoxy mshawahi kuwa wapenzi MKATARAKIANA..???.. Mbona kila unacho-post yeye anapinga..??
Ok .. sawa ..licha ya kuwa huu uadui wenu ni wa mbali mno naona anakufuata tu.... ila (WACHUKIANAO NDO WAPENDA NAO)...Hebu MCHEKI PM..maana wadada huwa wanaogopa kukuelezea livelive eti FaizaFoxyPole Adolf kwenye maisha huwezi kupendwa wala kuchukiwa na wote..ni hulka ya kiasili ya binadamu ila ukiwa mwerevu mtu wa jinsi hiyo humpatilizi..utamvimbisha kichwa
We kweli kizibo, kichwani ni kutupu kabisa.Ni Kama unawashwa vile
Sawa naona umeniitia Staff Invisible ila yalikuwa ni mawazo yangu si kwa ubaya...Yaishe tu Bibi naona umechukia ila ....USHAURI :-Muache jamaa kama humpendi unampotezea muda wake bure....Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - Invisible
wewe bibi jihadi hebu koma.Yaani wewe mtu yuko hai unamuita maiti?
Hakika sasa unazidi kupotosha umma.
Licha ya kukuumbuwa kote bado unadanganya tu?
Watu kama wewe ndiyo wenye kuiharibu JF.
Mdomo wangu ubaki umeufunga hivyo hivyo ukileta zile zako una mimi jua hilo
Kuna wakati Naona wazi ule ugonjwa wako ule umeathiri Mpaka ufahamu wako= Ndiyo nini hicho?
Hapana, mimi sipingi bali huwa nnamuumbuwa kila anapodanganya, maana kazowea kudanganya na kuna wengi humu kila wanaposoma JF huamini.
Uelewe kuna watu wanaingia JF na hawajui kama mtandao ni zaidi ya JF. Si vyema kuwajaza ujinga.
C & C the only job you can do perfectly...crippled slaved mind full of stupidityQur'an 2:
14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu. Maelezo
Ungenifahamu vema ungejionea huruma na kulog out. Anyway muda upo binti sina haraka naweWe kweli kizibo, kichwani ni kutupu kabisa.
Viherehere vingine ni vichekesho vitupu!.....sasa haya maelezo yana uhusiano gani na hii thread??[emoji30]......ifike mahali watu waache kutumia mbinu finyu kutafuta sifa kwani hii ni kujidalilisha kirahisi mno!Picha hii imepewa kichwa cha habari mwanamke wa Dar je ni kweli huyu ni mwanamke wa Dar?daima usijaribu kubishana na mpumbavu unavyofanya ni kumuacha mpumbavu katika upumbavu wake![]()
kwa hili namtetea foxy.Hivi Mshana...Wewe na FaizaFoxy mshawahi kuwa wapenzi MKATARAKIANA..???.. Mbona kila unacho-post yeye anapinga..??
uko sawaNaomba nikujibu kwakuwa naona kuna umuhimu wa kufanya hivyo hebu niambie nimedanganya nini? Umeniuliza nimezitoa wapi sikukujibu! Heading inasema. ..malighafi inauzwa..kwa akili zako hili linawezekana? Ni kwa wenye akili finyu pekee kama matako ya bata ndio ambao hawajui dhima ya jukwaa la picha
Nina hulka ya kutowajibu wapuuzi kwakuwa wapuuzi hawajibiwi