Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,068
- Thread starter
- #61
Jf photos iko ndani ya forum ya social! Ila kwakuwa wengi ni wakurupukaji hawalioni hili...! Na kilichopo hapa ni kwa vile kapost Jr[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi huchukulia picha na baadhi ya post za mkuu mshana jr kama za kufurahisha na kufikirisha tu. Si kama taarifa rasmi za kufanyia kazi. Hata hivyo tunatofautiana katika kusoma na namna ya kutafsiri mambo.