Wewe si umesema umeitoa msata hiyo picha, hapo ni msata?Naomba nikujibu kwakuwa naona kuna umuhimu wa kufanya hivyo hebu niambie nimedanganya nini? Umeniuliza nimezitoa wapi sikukujibu! Heading inasema. ..malighafi inauzwa..kwa akili zako hili linawezekana? Ni kwa wenye akili finyu pekee kama matako ya bata ndio ambao hawajui dhima ya jukwaa la picha
Nina hulka ya kutowajibu wapuuzi kwakuwa wapuuzi hawajibiwi
Ukweli mchungu eeee?Nilikujibu wewe? Niliowajibu wamenielewa! Povu ongeza wewe! Usihemkwe tafadhali na usidandie reply zisizokuhusu itakusaidia sana
manunuzi ya nywele za maiti
Unapo reply inamaana unataka sote tusome km kuna mlengwa ulikua unamjibu na hukutaka mimi nisome basi ungemfata PM, kama unapenda sana kuungwa mkono kwa kila pumba zako unazoweka hapa basi uache kudanganya otherwise nitaendelea kukulipua.Nilikujibu wewe? Niliowajibu wamenielewa! Povu ongeza wewe! Usihemkwe tafadhali na usidandie reply zisizokuhusu itakusaidia sana
Ukikutana na binadamu asiyependa kukosolewa muogope sanaUkweli mchungu eeee?
Pole mkuu kama imekuchoma.
Maana naona na wewe hupendi kukosolewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu sana kumbe hata hujaelewa ulichoambiwa...tafakari kabla hujajibuUnapo reply inamaana unataka sote tusome km kuna mlengwa ulikua unamjibu na hukutaka mimi nisome basi ungemfata PM, kama unapenda sana kuungwa mkono kwa kila pumba zako unazoweka hapa basi uache kudanganya otherwise nitaendelea kukulipua.
Rudi uelezee nini hicho..??? Au nyara za serikali ??...Siyo nywele za simba hizo kweli..? ?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukikutana na binadamu asiyependa kukosolewa muogope sana
Ninachopingana nacho ni kukosolewa kwa hoja sio upuuzi, nimeweka mifano michache hapo ya picha za members wengine je hizo picha na heading zake ndio uhalisia?
Unapoitwa GT ina maana kubwa kuliko kujinasibu kwa maneno tupu
mmmmmm kwa mara ya kwanza Mshana jr nakuona umechukia my kaka sijawahi kusoma comment yako ukiwa umeandika kwa ghazabu kiasi hiki, pole sana calm down.Naomba nikujibu kwakuwa naona kuna umuhimu wa kufanya hivyo hebu niambie nimedanganya nini? Umeniuliza nimezitoa wapi sikukujibu! Heading inasema. ..malighafi inauzwa..kwa akili zako hili linawezekana? Ni kwa wenye akili finyu pekee kama matako ya bata ndio ambao hawajui dhima ya jukwaa la picha
Nina hulka ya kutowajibu wapuuzi kwakuwa wapuuzi hawajibiwi
Huyo mtu ni muongo wa kutupwa.
Hizo ni picha za mwaka 2012, Zanzibar. Zilienea kwenye mitandao.
Sijuwi huwa anapata faida gani kuzichukuwa na kuzibadilisha maudhui?
Kazi yake ni kutwa kucha anafikiri namna ya kudanganya watu tu.
Jionee: UKADIRIFU: October 2012
Hujisikii aibu kudanganya weye mwanaizaya? Wapi kasema manunuzi ya nywele za maiti?Wewe wacha uongo, ulipoulizwa ni nini hicho, umefikia hadi kusema "manunuzi ya nywele za maiti". Wakati tunaotembea kwenye mitandao tuna kumbukumbu ya hizo picha na tumekuumbua mchana kweupeeee.
Unadanganya wazi wazi halafu unautetea uongo wako? Na bado unaendelea kuwajaza watu ujinga?
Hakika shule ulienda kusomea ujinga na nnawapa pole sana wazazi wako.