Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,020
- 4,027
Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo.
Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu kwamba nifanye malipo!
Nikilog in mfumo hauendelei mbele wala haufunguki niweze kuingia kwenye akaunti yangu zaidi ya kuwekewa hiyo notification