Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
mkuu ungetupa story step kwa step mfano ulienda vijiji gani n amadini gani ulikuwa unatafuta,vikwazo etc tungejifunza mengi kwako kuhusu mali za mjerumani
Ina maana serikali na viongozi wenye pesa zao hawajui ili jambo????
Vijiji ambavyo nilifika ni Bumanda kipindi hicho ikiwa wilaya ya Geita (sasa Nyang'hwale),baadae nikaingia Mwanzayamadaso,Ngemo,Ivumwa (Ushirombo) baadae tukaanza kusaka milimani na Mzee mmoja Mzanzibar akaweka dau la gari mpya endapo tukipata. Nilichokuwa natafuta ni pasi ya Mjerumani na birika ambalo tuliaminishwa vilitengenezwa kwa dhahabu tupu. Kaka yangu Juma hadi ndoa ilivunjika kwa kulowea akitafuta hizo dhana. kwa kifupi usijaribu kabisa hili dili ni nusu ukichaa.
Mkuu ivyo vitu mlikuwa mnaenda kuvichimba au mlikuwa mnalekezwa mtu anayo? Je zile stori za uchawina mauzauza mbali mbali ni kweli?
Mkuu nitafute kesho hivi sasa ni saa sita usiku mwenzio nina mke,Samahani lakini.
Prof. Sospeter Muhongo siku anatangaza nia alidai anayo ramani ya madini naliyokabidhiwa na Wajerumani hivyo ili aiweke hadharani sharti aingie kwanza Magogoni.
Ha ha ha ha unataka kupiga?
Mkuu nitafute kesho hivi sasa ni saa sita usiku mwenzio nina mke,Samahani lakini.
Poa mkuu, ukipata muda endelea kutujuza
Mkuu katika tafuta hizo mali tulibahatika kupata sarafu moja kati ya zinazotakiwa sasa kilichofuatia ni mkasa tupu!! nakumbuka siku tunaipata hiyo sarafu mjomba wangu aliomba akaicheki kama ni mojawapo ya alizowahi kuzihifadhi kumbe na yeye alikuwa anatafuta gia ya kutuibia,tulipompatia akaondoka nayo hadi Sengerema pale mission hospital palikuwepo Wazungu ambao yeye aliambiwa (kudaganywa) kwamba wanatafuta hizo sarafu kwa milioni thelathini hivyo akaona atupige changa la macho!! alipofika Sengerema (kwao) akawaelezea wadogo zake wampeleke hapo Mission Sengerema,usiku wadogo zake wakamuibia wakifkri wametoka kimaisha lakini tulipata habari toka kwa bibi yetu nusra wakamatwe hapo Mission isipokuwa huruma tu za hao ma sister baada ya kuhisi ni mataperi na hakuna biashara kama hiyo. kwa kifupi hiyo biashara ni hadithi au uongo ambao hauna tofauti na viungo vya binadamu. No shortcut on life.
Moja ya alama ni hizo hapo hazifutiki kirahisi. Kwa ambaye yupo serious na anajua maeneo yenye mali kwa iringa ani pm tufanye kazi.
Jaman tabora kuna mrima unaitwa iwelanguma nilisha wahi kuona alama kama hi.xx.je inauhusiano wowote?lakini ilipo imejifichasana zamani tilikua tukiwinda nunguli Mimi niliona nikamuuliza babu yangu akasema hapo kuna maficho usiende tena utakufa niliogopa sana.