bora uamini kuliko kutoamini kabisa !!!ila tutarudi punde kutoa ushuhuda ila hamkawii kusema oooh flani katoa kafara ,au freemason au muuza unga kama wachangiaji wengine wanavyosema,penye nia pana njia hizi ni mali zetu lazima tuzifukue,ila si kazi rahisi hata kidogo.
Haya maswala ni utapeli mtupu asikuambie mtu!
Huu ni mwanzo Wa kazi tu ya utapeli ukiingia humo utaenda utakutana na mambo ya ajabu na Kama ukiwa na Fwedha na wao wanajua Kua unafwedha itakwenda hizo Mali za wajerumani zinaonekana na wao watajitoa na kukuacha wewe ununue Kwa bei kubwa huku wakikwambia hii utakwenda kuuza bei kubwa sn! Uongo mtupu! Na ukishanunua tu huwaoni tena!
Haya mambo ni ujinga ujinga tu maeneo ambao waliokua wanakaa Wakoroni yanajulikana na ndio hayohayo serikali imeyakalia Au viongozi Au watumishi Wa serikali! Sasa ni wapi huko Hawa watu walijuendea kuficha hizo Mali hivyohovyo?
Ukienda Zaidi utakutana na Rupia, Zebaki na madini Feki na Uganga Wa kienyeji Wa kitapeli!
Hakuna kitu hapa!
Tutafuteni pesa Kwa njia halali na si Kwa mambo ya utapeli km huu!
kwangu mimi kufa kwa ajiri ya kutafuta ni heshima zaidi,yaani kama vile dereva unaanga kwako unaenda kazini halafu lolote njiani linaweza kukupata la kukupata , inabaki history,haya ni masuala ambayo hayahitaji jazba au mawenge,kama mm nna shughuri zangu,wala haya mambo hayanishughurishi kiasi cha kuvuruga utaratibu wa mambo yangu,suala ya wengi uwaonao wamechacha huo ni mwanzo mgumu kutafuta kazi,lakini wapo watu wenye hela wanaofanya kazi hii,kufa kupo tu,tutakufaje hakuna ajuae,tafuta mali ili mradi haudhurumu mtu wala kudhuru mtu,mungu atakupa ,na kwa vile zile ni mali zetu watanzania lazima tuzichukue ni haki yatu kabisa.Binafsi nimekua nasikia hayo mambo yapate Zaidi yamiaka 15 sasa na Hao watu wayatafutayo hayo mambo ni maskini na wengine wamefia mapolini huko!
toa offer yako kwa hivyo uvitakavyoNatafuta pasi ya mjerumani,jiko na rupia mwenye habari navyo tuwasiliane,soko lipo!
Hivi vitu vipo japo mi nikijana mdogo sana ila kwa historia ya shule kuhusu wajerumani na kufatilia sehem mbalimbali kama vile morogoro na dodoma naamini hivi vitu vipo na wapo watu wamefanikiwa sana kutokana na hivi vitu..akiwemo tajiri wa meridian na hata hao wakina ridhiwan kama mtu anahakika anajua hivi vitu vilipo basi cha kwanza mimi na yeye tukahakikishe kabla ya kumpeleka mtaalam wa kufanya hiyo shughuli pili hivi vitu vikitoka ni moja kwa moja benki kuu wao ndio wanawasiliana na matajiri ndani ya siku 2 hadi 3 biashara inafanyika benki kuu kisha benki inachukua asilimia 10 ya pesa zitazopatikana na unapewa kibali na uhalali wa pesa ulipoipata hakuna ataekuja kukusumbua na sio kuuuza kwa njia nyingine tuwasiliane kwa 0716637717
halafu wewe unapenda saaana kubisha bisha na nakuchora tu,utapeli upo katika kila biashara ya hela nyingi cha msingi kufahamu tu biashara hii inaendajeMifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!
Mifano ya hivyo huwa
wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani
iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!
halafu wewe unapenda saaana kubisha bisha na nakuchora tu,utapeli upo katika kila biashara ya hela nyingi cha msingi kufahamu tu biashara hii inaendaje
moja ya mali za wajerumani ni mgodi wa dhahabu wa geita ulikuwa unamilikiwa na claus gauge waghana na ashanti wakapiga hela wakauza kwa kaburu anglo amerika nae anaendeleza kupiga mchongo unataka ushahidi gani tena!
Mifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!
Mifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!
Mwenye kujua mtu alie na vitu vya kijeruman kama vle pasi, chemli au jiko anitafute tufa ye biashara pia sehem ambapo vitu hivi vipo tafafhali utapeli hauna nafac hapa kaa chonjo nami nichek kwa 0716637717