Inasemeka hata shule ya old moshi ya zamani sasa ni kolila inayomilikiwa na kkkt kuna kanisa pembeni ni makaburi ya wajerumani alf kuna handaki mlango wa kuingilia upo ndani ya jengo la shule pia kunasehemu kama mnala full zege yawezekana nako kuna mali pia
Hii sio dhana, ni kweli! Ninafahamu baadhi ya location ambapo treasure zipo.. Pia nimefanya biashara hiyo, tatizo sikuwahi kufanikiwa. Kila unapopata mali (sio madini) ukipeleka sokoni unaambiawa sio.. Wajerumani wanatumia spray flani hivi kuweza ku-easen utoaji wa hizo mali.. Walivyozihifadhi walitumia mizimu na teknolojia ya sayansi.. Its too risky bzness na pia ni illegal, simshauri mtu afanye! Tuiache serikali ifanye, maana ni pekee itakayoweza, ikishirikiana na wajerumani.. Kwa maana kuna sehemu (sijafika lakini nimesikia) walitega na mabomu..
Hizo hazina ni nyingi zaidi kanda ya ziwa!
Kwa uchunguzi wangu nimepata kumjua mtu mmoja tu aliyewahi fanikiwa kwa shughuli hizi, alipata pesa uncountable, in 10yrs, sasa hivi ni maskini wa kutupwa!..
I knw inn and out of this project-bzness!! Na vitu vingi nimeviona na kuvishika! Uchawi mwingi.
TUFANYE KAZI HALALI.. NO SHORT CUT IN LIFE.
=>hili la mengi lushoto nimelisikia na wewe ni kama mtu wa kumi kupata fununu hii. || LABDA TUTOE ANGALIZO FANYA UTAFITI HUU UKIWA NA SHUHULI AU KAZI ZAKO ZINGINE.FANYA KAMA LEISURE/HUKU KAZI ZAKO ZINGINE ZIKIENDELEA,NEVER PUT MUCH EXPECTATION ON IT!!!Wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali kwa kufanya tafiti hizo kihalali kabisa na Watanzania wengi wameshafanikiwa . Sio biashara illega serikali inaitambua na inatoa support
Kwa akili yako unadhani utajiri wa rizi one ni kuiba hela za serikali? Wamepiga site huko Lindi , Fuso nzima ! Mzee Mengi amepiga site Lushoto ya kufa mtu
hili ni jukwaa huru unahaki ya kusema hivyo na zaidi ya hivyo,ila kiukweli huna ujualo juu ya masuala haya.shaka hamna hawa jamaa wamekuta mali nyingi sana kwetu na kwa roho zao mbaya wameona wivu kuziacha kwenye mazingira rahisi kama wao walivyozikuta!!! Hizi ni mali zetu watanzania inatupasa tuzichukue, kwa kila njia mtu anaeijua ni halali yetu kabisaa.ila si kazi ndogo.....Haya maswala ni utapeli mtupu asikuambie mtu!
Huu ni mwanzo Wa kazi tu ya utapeli ukiingia humo utaenda utakutana na mambo ya ajabu na Kama ukiwa na Fwedha na wao wanajua Kua unafwedha itakwenda hizo Mali za wajerumani zinaonekana na wao watajitoa na kukuacha wewe ununue Kwa bei kubwa huku wakikwambia hii utakwenda kuuza bei kubwa sn! Uongo mtupu! Na ukishanunua tu huwaoni tena!
Haya mambo ni ujinga ujinga tu maeneo ambao waliokua wanakaa Wakoroni yanajulikana na ndio hayohayo serikali imeyakalia Au viongozi Au watumishi Wa serikali! Sasa ni wapi huko Hawa watu walijuendea kuficha hizo Mali hivyohovyo?
Ukienda Zaidi utakutana na Rupia, Zebaki na madini Feki na Uganga Wa kienyeji Wa kitapeli!
Hakuna kitu hapa!
Tutafuteni pesa Kwa njia halali na si Kwa mambo ya utapeli km huu!
=>NAPENDA NIKUTIE MOYO NEVER GIVE UP,I'M WITH YoU BROS!!!hili ni jukwaa huru unahaki ya kusema hivyo na zaidi ya hivyo,ila kiukweli huna ujualo juu ya masuala haya.shaka hamna hawa jamaa wamekuta mali nyingi sana kwetu na kwa roho zao mbaya wameona wivu kuziacha kwenye mazingira rahisi kama wao walivyozikuta!!! Hizi ni mali zetu watanzania inatupasa tuzichukue, kwa kila njia mtu anaeijua ni halali yetu kabisaa.ila si kazi ndogo.....
hili ni jukwaa huru unahaki ya kusema hivyo na zaidi ya hivyo,ila kiukweli huna ujualo juu ya masuala haya.shaka hamna hawa jamaa wamekuta mali nyingi sana kwetu na kwa roho zao mbaya wameona wivu kuziacha kwenye mazingira rahisi kama wao walivyozikuta!!! Hizi ni mali zetu watanzania inatupasa tuzichukue, kwa kila njia mtu anaeijua ni halali yetu kabisaa.ila si kazi ndogo.....
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure
Wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali kwa kufanya tafiti hizo kihalali kabisa na Watanzania wengi wameshafanikiwa . Sio biashara illega serikali inaitambua na inatoa support
Kwa akili yako unadhani utajiri wa rizi one ni kuiba hela za serikali? Wamepiga site huko Lindi , Fuso nzima ! Mzee Mengi amepiga site Lushoto ya kufa mtu
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure
Hadithi hizi hazikuanza hivi karibuni! Huko Tukuyu, Mbeya kuna ziwa linaitwa Kibisi ambalo halina sehemu inayooneka kwa macho kama inaingaza maji ziwani humo au kutoa ambalo Wajerumani baada ya kushindwa vita ya pili ya dunia walitupa hazina kubwa ya mali ambayo upatikanaji wake ni mgumu kwani kila anayezamia na kutaka kuitoa anakumbana na mauzauza mengi ikiwemo kutokewa na joka kubwa linalotisha!
Inasemekana kuna wazungu walijaribu kuitoa hazina hiyo wakashindwa baada ya mmoja wao kuzamia huku akiwa amefungwa vifaa maalumu pamoja na minyororo ya kufungia masanduku ya chuma yanayosemekana yapo chini ya ziwa. Mzungu huyo hakurudi juu wala masanduku na kupotelea chini ya ziwa na kuwafanya wenzake kuondoka kwa majonzi makubwa badala ya furaha!
bora uamini kuliko kutoamini kabisa !!!ila tutarudi punde kutoa ushuhuda ila hamkawii kusema oooh flani katoa kafara ,au freemason au muuza unga kama wachangiaji wengine wanavyosema,penye nia pana njia hizi ni mali zetu lazima tuzifukue,ila si kazi rahisi hata kidogo.Swali ni kwamba serikaliinayajua maeneo yote ya wakoloni ya ki historia na yaliyokua makazi Yao!
Na serikali ndio imeweka makazi kwenye hayo maeneo yaliyokua makazi ya wakoloni kuanzia baadhi ya makambi ya jeshi na maboma na nyumba walizokua wanakaa! Iweje Leo hizo Mali zimekua za kutafuta tu sehemu mbalimbali? Tena Kwa Imani ya ushirikina na makafara?