kuna kazi namalizia kiwangwa baada ya week narudi kuleta ushuhuda ila ngumu sana.nilipanga niende j'pili ila kuna kazi nyingine nafanya,kama ungekuwa au upo hapa dar ningekuambia tufuatane ukajifunze kwa vitendo.ila safari ipo sooon
mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.
Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.
Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.
Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.
Nawasilisha.

Hii sio dhana, ni kweli! Ninafahamu baadhi ya location ambapo treasure zipo.. Pia nimefanya biashara hiyo, tatizo sikuwahi kufanikiwa. Kila unapopata mali (sio madini) ukipeleka sokoni unaambiawa sio.. Wajerumani wanatumia spray flani hivi kuweza ku-easen utoaji wa hizo mali.. Walivyozihifadhi walitumia mizimu na teknolojia ya sayansi.. Its too risky bzness na pia ni illegal, simshauri mtu afanye! Tuiache serikali ifanye, maana ni pekee itakayoweza, ikishirikiana na wajerumani.. Kwa maana kuna sehemu (sijafika lakini nimesikia) walitega na mabomu..
Hizo hazina ni nyingi zaidi kanda ya ziwa!
Kwa uchunguzi wangu nimepata kumjua mtu mmoja tu aliyewahi fanikiwa kwa shughuli hizi, alipata pesa uncountable, in 10yrs, sasa hivi ni maskini wa kutupwa!..
I knw inn and out of this project-bzness!! Na vitu vingi nimeviona na kuvishika! Uchawi mwingi.
TUFANYE KAZI HALALI.. NO SHORT CUT IN LIFE.
mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.
BUT U CAN SPEND IT AS "ADVENTURE TOUR" WAKATI WA LIKIZO JUST LIKE LEiSUREHii sio dhana, ni kweli! Ninafahamu baadhi ya location ambapo treasure zipo.. Pia nimefanya biashara hiyo, tatizo sikuwahi kufanikiwa. Kila unapopata mali (sio madini) ukipeleka sokoni unaambiawa sio.. Wajerumani wanatumia spray flani hivi kuweza ku-easen utoaji wa hizo mali.. Walivyozihifadhi walitumia mizimu na teknolojia ya sayansi.. Its too risky bzness na pia ni illegal, simshauri mtu afanye! Tuiache serikali ifanye, maana ni pekee itakayoweza, ikishirikiana na wajerumani.. Kwa maana kuna sehemu (sijafika lakini nimesikia) walitega na mabomu..
Hizo hazina ni nyingi zaidi kanda ya ziwa!
Kwa uchunguzi wangu nimepata kumjua mtu mmoja tu aliyewahi fanikiwa kwa shughuli hizi, alipata pesa uncountable, in 10yrs, sasa hivi ni maskini wa kutupwa!..
I knw inn and out of this project-bzness!! Na vitu vingi nimeviona na kuvishika! Uchawi mwingi.
TUFANYE KAZI HALALI.. NO SHORT CUT IN LIFE.
anasema usisahau manati yake aliokuagizia...teh tehUkifika Kiwangwa msalimie zimwi la nchi.
:focus:Naona dalili ya kuibuka Mwaisapila wa pili!
Hi bro uhakika bado hauko
Kweli tunaambiwa kuna mali nyingi za thamani kubwa walakin mengi au wengi wao ni wazushi mimi huwa nafatilia sana hz sehemu walakin sijawahi kuona yoyote kati ya hao alifanikiwa. Nadhani ni hadithi tu na uhakika bado hauko
Yeah nimepata sikia toka kwa mtu wangu wa karibu jamaa zake walichukuliwa na wajerumani fulani ambao walikuwa wakizungumza kiswahili vyema..walifika morogoro wakawachukua hao vijana maeneo ya vibandani kisha wakapandisha.milima ya uluguru walikuwa na vifa ambavyo vyaonyesha location na distance kwa uzuri kabisa...walipofika maeneo fulani kwa maelekezo ya vifaa vyao wakawambia wale vijana ambao waliokuwanao kwamba wanatakiwa chimba hapo walipofika. Walivyo chimba wakuta vitu kama vyungu hivi ila ndani yake vimejaa almasi hapa mchezo jamaa wakapewa vijiwe vichache pale...na hapo wale vijana hata mtaani wakahama kabisa...pia pana stori moja ipo arusha wanasema pana kaburi ambali pana hazina za hao wajerimani ila hakuna alieweza chimba kufanikiwa maana kila anaejaribu kufanya hivyo hujikuta matatani aidha anajikata kwa vichimbio au ananguka na kadha wa kadha...so huenda hayo makitu yapo nchini.