Ewiiii yelewiiiinawasihi ndugu zangu msijiingize kwe kazi hii.mtapoteza muda mtaumia na mwisho mnaeza ishia kuwa wachawi.nawasihi nina uzoefu na hili.tafuteni kazi zingine za kufanya.
Uongo mtupuUko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure
Tehe tehe. Hizi stori dahKuna jamaa walifanikiwa kupata red mercury yenye thaman ya dollar 200million. Bado wanafanyiwa figisu ni namna gani watalipwa hyo hela kwa makubaliano na bank binafsi
Mkuu,naona kama unamsema Baba yangu maana anahangaika na hayo majitu mpaka anaudhi kila mtu kwenye familia yetu. Ni stori ndefu ila kwa kifupi ukipiga mahesabu ya haraka,amepiga kibiriti zaidi ya kama milioni 200 na madeni juu. Akikupigia simu na kuanza na neno kijana wangu,ujue anataka kukuomba hela kwa ajili ya hayo mambo.Haya mambo yamemrudisha nyuma sana baba yangu tangu aanze kuyafuatilia amekuwa kama amedata hivi yuko radhi adanganywe kuna pasi ya mjerumani atoe pesa kuliko akupe hela ya ada.
Halafu always yanakufanya unakuwa na ndoto za ubilionea tu hata kama huna hata mia mfukoni
Natahadharisha kama unataka kuyafuatilia haya madubwana jiandae kufilisika kimawazo na kimaendeleo kwani kila saa unaona kesho tu utaipua mzigo na kuwa bilionea utaanza kudharau watu wanaojishughulisha na kazi halali hata ukiona nyumba nzuri unaanza kusema unadhani basi hiyo ni nyumba nzuri ngoja ile pasi ipatikane ina thamani ya trilion 17 uarabuni nitajenga zaidi ya hiyo.
For more info ni PM
Huu uzi hauishi....Tehe tehe. Hizi stori dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka muda huu hapa mkoani kwetu kuna jamaa wanachimba kwa kutumia gleda wakifuatilia mali za kale za Wajerumani.
Leo wiki ya tatu na inasemekana kuna mzigo wa dhahabu wa kg 1000 gleda linaunguruma masaa 24
Mkuu tuelimishe kilichojiri kwakoHaya mambo yamemrudisha nyuma sana baba yangu tangu aanze kuyafuatilia amekuwa kama amedata hivi yuko radhi adanganywe kuna pasi ya mjerumani atoe pesa kuliko akupe hela ya ada.
Halafu always yanakufanya unakuwa na ndoto za ubilionea tu hata kama huna hata mia mfukoni
Natahadharisha kama unataka kuyafuatilia haya madubwana jiandae kufilisika kimawazo na kimaendeleo kwani kila saa unaona kesho tu utaipua mzigo na kuwa bilionea utaanza kudharau watu wanaojishughulisha na kazi halali hata ukiona nyumba nzuri unaanza kusema unadhani basi hiyo ni nyumba nzuri ngoja ile pasi ipatikane ina thamani ya trilion 17 uarabuni nitajenga zaidi ya hiyo.
For more info ni PM
Nasisitiza tena:ACHANA NA HAYO MAMBO YATAWAPOTEZEA MUDA WENU
Mimi ni mhanga wa hayo majitu sina hamu nayo yametulostisha sana ila nendeni mtanikuta hapa jf na kukiri baada ya kuona ni mapicha picha tu
Tamaa ilimponza fisi. We jitie kidume tu uende ukakutane na mauza mauza ambayo hata ukitoka hai usitamani kuishi tena. Fanya kazi kijana, usangoma feki kwenye mali za mazingara utakuondoa duniani. Unafikiri toka hizo zama hakuna wataalam wa kweli lakini mbona wamechemka.no jokes,wewe tu ni pm au njoo kwa hewa if u real man....