Mali za Kijerumani

Hizi habar ni za kwel...hata mm juzi jumapili nlikuwa kilwa kisiwani walipokuwa Waarabu enzi hizo.Kuna mzungu mmoja alikuja kutafiti akazunguka sana mwishowe akapata dhahabu kibao na akaondoka nazo...mpka sasa kunazo sema tu teknolojia ndo hakuna bdo tumelala.zipo rupia za zaman za dhahabu kwenye magofu lakn ukiinua moja tu huoni mlango wa kutokea
 

mkuu maeneo gani hayoo mkuu
 

mzee master embu naomba kupata maelezo ya nguvu toka kwako ...kama hautajali nataraji kufanya utafitii Wa nguvu ..
 
Hizi Mali zipo kabisa hata hapa kijijini kwetu yapo mashimo ya dhahabu ambayo juu yalifunikwa kwa zege
 

Wewe ulishapata huo mwongozo?
 
hii ni kweli, nimesema huko rukwa jamaa yangu alifika kwenye hiyo zege, hailipuki kwa baruti, lakini akipima kwa GIS inaonyesha ndani kuna madini ya thamani kubwa, ameshindwa kuyatoa hadi leo, mpuuzi mmoja akabisha eti zege gani halilipuki kwa baruti
 
Kuna watu wanafurahisha, jamaa fulani wa makanisa ya kilokole walipata eneo lenye hayo madini yaliyofichwa, inasemekana uchawi pia ulitumika kuyaficha, hivyo wakaona kabla ya uchimbaji wamtafute nabii ambaye kazi yake itakuwa ni kuomba tu, wanamhudumia kila kitu hadi watakapopata madini

Walichimba miezi kadhaa hadi kufika kwenye zege, walikuwa wameahidiwa na kampuni flani ya ujenzi kuwa wakifika kwenye zege watapewa vifaa maalumu vya kulifumua, wakafurahi wakijua kazi imekwisha. Shimo lilikuwa lrefu kama nguzo mbili chini

Jioni hiyo walikubaliana na kampuni kuwa kesho yake asubuhi vitapelekwa vifaa kubomoa zege

Lakini jioni hiyo yule mama nabii waliemchukua kwa ajili ya kuomba akawaita kawaambia BWANA anauliza akiwapa hayo madini mtamtolea kiasi gani kwa nia moja? Watatu wakasema tutatoa nusu ya fedha zitakazopatikana kanisani, mmoja hakuwa mlokole akasema nyie wapumbavu mmeona tumefika mwisho ndio mnataka kunitapeli eti nusu mmeleke kanisani, hakuna, hapa ni sawa kwa sawa,

Yule mama nabii akawaambia kwa kuwa hamna nia moja hayo madini hamtayapata

Kesho yake walipokwenda wakakuta shimo lote limejaa maji, kama kuna chemchem kwa ndani
 
Wewe ulishapata huo mwongozo?

Muongozo upo lakini unatakiwa ujue kupata utajiri si sawa na kuamka usingizini ni lazima ufight hasa. Tatizo wataalam wa kutoa haya maficho ni wachache tz pia wameingia na matapeli ndani yake.

Tatizo lingine ni sisi wenyewe wtz kutokana na umasikini wetu wengi wetu tunaenda kwa hisia kwa sababu vipimo vya kupima mali hizo vinapatikana ujerumani na israel tena kwa gharama kubwa. So maeneo mengi tunahisi kuwa zipo lakin hatuna uhakika. Cha msingi ni mtu kusoma alama zao na ukatafuta cod zake ili ujue pale ulipoona mzigo mali itakuwa upande gani. Ipo siku watu watapata wabishi mtabaki na kusema hakuna kitu kama hicho. Cha msingi achen ubishi fanyeni utafiti mtagundua ukweli.

Kaka hakuna tajiri atakayekuambia amepata utajiri kutokana na hizo mali lakin ukweli ni kwamba wapo tena wengine ni maarufu sana nchi hii. Ingia kwenye ulingo wa utafiti wa mali hizi utawapata watu waliotajirika kupitia mali hizo.
 

Stori zilezile
 

Hapa kilwa mkuu kuna rupia zipo kwenye magofu ya waarabu lakini ukichukua hata moja tu huoni mlango wa kutokea nje...anaebisha ani PM niko kilwa nimpeleke maana naona mnabisha sana
 
nadhani IPO haja ya kuungana KWA pamoja ""treasury hunter"" tukazimaki Mali hizi pote Tanzania,tukaungana na treasury hunters wa ujerumani katika kufanikisha hili kwa uhakika au mna maoni gani wadau!
 
Anayenunua hizi kitu tuchekiane nimuunganishe sehemu..." Rupia ya mwaka .1904 A. Isiyo na simba ,ina rangi nyeupe.maarufu kma makuti.
 
Mwenye rupia nyekundu, njano au fufumark pia rupia kama EIN RUPIA hii shart iwe na heruf 'j' pia nyota mwanzo na mwisho wa mwaka soko lopo la uhakika hapa dar es salaama..pia maji mekundu,njano au meusi yaani (mercury)..pasi za mjeruman,stoves na korofindo yan bunduk ya mjeruman asisite kuwasiliana nami kwa namba 0716637717. / 0769767771. Tafadhali piga ukiwa na uhakika na mzigo ulionao biashara ni dar na si pengine popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…