Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,658
- 20,992
IPO DHANA YA KWAMBA WAJERUMANI WAKATI WAPOKUWA WAKIKURUPUSHWA NA WAINGEREZA TANGANYIKA BAADHI YA MALI ZAO WALISHINDWA KUONDOKA NAZO,HIVYO INASADIKIKA MALI NYINGI WALIDHIHIFADHI CHINI YA ARDHI KWA UTARATIBU MAALUMU AMBAO KTK MAZINGIRA YA KAWAIDA SI RAHISI KUZITOA AU KUZIHAMISHA,INASADIKIKA MALI HIZO ZITAKAA HAPO ZILIPO MPK WAO WENYEWE WATAKAPOAMUA KUZIFUATA,PIA INASADIKIKA WALITUMIA "RUNIC RITUALS"KTK KUDHIHiFADHA UTARATIBU UNAOENDANA NA UTOAJI KAFARA BINADAMU.YAPO MAENEO MBALIMBALI AMBAKO INASADIKIKA MASANDUKU HAYA YALIHIFADHIWA, BAADHI YA MAENEO HAYO NI TANGA (USAMBARA),MOROGORO,SINGIDA,LINDI,KILIMANJARO NA NK.YEYOTE MWENYE TAARIFA ZAIDI AWEZA KUTUJUZA ZAIDI JUU YA SUALA HILI,KWANI MAENEO HAYA YATAKAPO JULIKANA VEMA HUENDA YAKAWA CHANZO KIZURI CHA UTALII KUTOKANA NA HISTORIA YAKE KUSISIMUA,NAWAKILISHA
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bureHi bro uhakika bado hauko
Kweli tunaambiwa kuna mali nyingi za thamani kubwa walakin mengi au wengi wao ni wazushi mimi huwa nafatilia sana hz sehemu walakin sijawahi kuona yoyote kati ya hao alifanikiwa. Nadhani ni hadithi tu na uhakika bado hauko
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure
mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.She sikatai walakin nasema jwa upande mwingine hao wajerumani uliwahi shuhudia mwenyewe au unaambiwa na jama tu? Maana hzi tumesikia tungali tupo mashuleni leo hii pia tunahadithiwa naomba km utafuatilia mwenyeww hata hapa kwetu Iringa yapo maeneo mengi sana na nimeyaona hata mimi pia na zipo na nyingine masanduku yanaonekanz walskin mazingira magumu
ngoja niombe likizo niku pm are sure?u can?mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.
no jokes,wewe tu ni pm au njoo kwa hewa if u real man....ngoja niombe likizo niku pm are sure?u can?
mkuu hizi habari kweli ila wale jamaa wameroga sana,unaweza ukafuatilia ukikaribia kufanikiwa unaghairi kumaliizia kazi au mkagombana wenyewe kwa wenyewe ,wamepumbaza sana ila amin tu wazungu wachawi sana.Hizi habari bwana hata mimi nilikuwa nikizisikia,ninazisikia na huenda nitaendelea kuzisikia,,,
Lakini sasa tatizo huwa ni moja, nani anaweza kuthibitisha kwamba ni kweli!!!????
Na nina imani kama hayo mambo kweli yangekuwepo wengi wangeshazichukua hizo vitu,,kuna watu ni wataalam asikwambie mtu.
kuna kazi namalizia kiwangwa baada ya week narudi kuleta ushuhuda ila ngumu sana.nilipanga niende j'pili ila kuna kazi nyingine nafanya,kama ungekuwa au upo hapa dar ningekuambia tufuatane ukajifunze kwa vitendo.ila safari ipo sooonHizi habari bwana hata mimi nilikuwa nikizisikia,ninazisikia na huenda nitaendelea kuzisikia,,,
Lakini sasa tatizo huwa ni moja, nani anaweza kuthibitisha kwamba ni kweli!!!????
Na nina imani kama hayo mambo kweli yangekuwepo wengi wangeshazichukua hizo vitu,,kuna watu ni wataalam asikwambie mtu.
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.
Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.
Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.
Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.
Nawasilisha.