Mali za Kijerumani

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,430
20,471
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza Tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.

Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.

Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara), Morogoro, Singida, Lindi, Kilimanjaro na nk.

Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili, kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.

Nawasilisha.
 
IPO DHANA YA KWAMBA WAJERUMANI WAKATI WAPOKUWA WAKIKURUPUSHWA NA WAINGEREZA TANGANYIKA BAADHI YA MALI ZAO WALISHINDWA KUONDOKA NAZO,HIVYO INASADIKIKA MALI NYINGI WALIDHIHIFADHI CHINI YA ARDHI KWA UTARATIBU MAALUMU AMBAO KTK MAZINGIRA YA KAWAIDA SI RAHISI KUZITOA AU KUZIHAMISHA,INASADIKIKA MALI HIZO ZITAKAA HAPO ZILIPO MPK WAO WENYEWE WATAKAPOAMUA KUZIFUATA,PIA INASADIKIKA WALITUMIA "RUNIC RITUALS"KTK KUDHIHiFADHA UTARATIBU UNAOENDANA NA UTOAJI KAFARA BINADAMU.YAPO MAENEO MBALIMBALI AMBAKO INASADIKIKA MASANDUKU HAYA YALIHIFADHIWA, BAADHI YA MAENEO HAYO NI TANGA (USAMBARA),MOROGORO,SINGIDA,LINDI,KILIMANJARO NA NK.YEYOTE MWENYE TAARIFA ZAIDI AWEZA KUTUJUZA ZAIDI JUU YA SUALA HILI,KWANI MAENEO HAYA YATAKAPO JULIKANA VEMA HUENDA YAKAWA CHANZO KIZURI CHA UTALII KUTOKANA NA HISTORIA YAKE KUSISIMUA,NAWAKILISHA

Hi bro uhakika bado hauko
Kweli tunaambiwa kuna mali nyingi za thamani kubwa walakin mengi au wengi wao ni wazushi mimi huwa nafatilia sana hz sehemu walakin sijawahi kuona yoyote kati ya hao alifanikiwa. Nadhani ni hadithi tu na uhakika bado hauko
 
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure
 
She sikatai walakin nasema jwa upande mwingine hao wajerumani uliwahi shuhudia mwenyewe au unaambiwa na jama tu? Maana hzi tumesikia tungali tupo mashuleni leo hii pia tunahadithiwa naomba km utafuatilia mwenyeww hata hapa kwetu Iringa yapo maeneo mengi sana na nimeyaona hata mimi pia na zipo na nyingine masanduku yanaonekanz walskin mazingira magumu
 
mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.
 
ngoja niombe likizo niku pm are sure?u can?
 
Hizi habari bwana hata mimi nilikuwa nikizisikia,ninazisikia na huenda nitaendelea kuzisikia,,,
Lakini sasa tatizo huwa ni moja, nani anaweza kuthibitisha kwamba ni kweli!!!????
Na nina imani kama hayo mambo kweli yangekuwepo wengi wangeshazichukua hizo vitu,,kuna watu ni wataalam asikwambie mtu.
 
mkuu hizi habari kweli ila wale jamaa wameroga sana,unaweza ukafuatilia ukikaribia kufanikiwa unaghairi kumaliizia kazi au mkagombana wenyewe kwa wenyewe ,wamepumbaza sana ila amin tu wazungu wachawi sana.
 
Hizi habari bwana hata mimi nilikuwa nikizisikia,ninazisikia na huenda nitaendelea kuzisikia,,,
Lakini sasa tatizo huwa ni moja, nani anaweza kuthibitisha kwamba ni kweli!!!????
Na nina imani kama hayo mambo kweli yangekuwepo wengi wangeshazichukua hizo vitu,,kuna watu ni wataalam asikwambie mtu.
kuna kazi namalizia kiwangwa baada ya week narudi kuleta ushuhuda ila ngumu sana.nilipanga niende j'pili ila kuna kazi nyingine nafanya,kama ungekuwa au upo hapa dar ningekuambia tufuatane ukajifunze kwa vitendo.ila safari ipo sooon
 
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.

Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.

Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.

Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.

Nawasilisha.

Yeah nimepata sikia toka kwa mtu wangu wa karibu jamaa zake walichukuliwa na wajerumani fulani ambao walikuwa wakizungumza kiswahili vyema..walifika morogoro wakawachukua hao vijana maeneo ya vibandani kisha wakapandisha.milima ya uluguru walikuwa na vifa ambavyo vyaonyesha location na distance kwa uzuri kabisa...walipofika maeneo fulani kwa maelekezo ya vifaa vyao wakawambia wale vijana ambao waliokuwanao kwamba wanatakiwa chimba hapo walipofika. Walivyo chimba wakuta vitu kama vyungu hivi ila ndani yake vimejaa almasi hapa mchezo jamaa wakapewa vijiwe vichache pale...na hapo wale vijana hata mtaani wakahama kabisa...pia pana stori moja ipo arusha wanasema pana kaburi ambali pana hazina za hao wajerimani ila hakuna alieweza chimba kufanikiwa maana kila anaejaribu kufanya hivyo hujikuta matatani aidha anajikata kwa vichimbio au ananguka na kadha wa kadha...so huenda hayo makitu yapo nchini.
 
Hizi habari nazisikia sana pia lakini sina ushahidi wowote wa kuaminika. Kuna wakati nilikuwa kusini mkoa wa Lindi wenyeji wa huko wanasema eti Moja ya alama walizoacha za kuonyesha hizo mali zilipo ni makanisa, kwamba ule msalaba wa juu unakuwa tilted kuelekea sehemu hazina hiyo ilipo ndiyo maana walijenga makanisa hadi misituni.
 
Inawezekana kuna ukweli ndani yake. Lakini ikumbukwe wajerumani waliondoka miaka 100 iliyopita. Kipindi hicho ushanga na goroli zilikuwa mali. Hivyo inawezekana walikuwa wanafukia mali katika miaka ya nyuma lakini kwa miaka ya sasa ni vitu vya kawaida tu.
 
Hii issue ni kweli,mi kuna mze aliniambia eneo jingine ni Dodoma,inasemekana kuna mzigo wa kutosha wa Wajerumani lakini wamezuga kwa kuweka Kama Makaburi na eneo hilo mtu haruhusiwi kuingia.Ila habari njema ni kwamba inasemekana nchi ya Ujerumani imeridhia Kuwa Mali hizo sasa ni hazina ya Tanzania,ni lini mzigo utapakuliwa Hapo ndo issue,Ila hazina ipo ya kutosha.
 
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.

Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.

Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.

Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.

Nawasilisha.

Hebu dumbukia hapa utapata majibu yooote!!!!

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/292142-rupia-hazina-ya-mjerumani-5.html#post7774798
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom