Mali mpya imeingia

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,495
13501870_1008096002630975_659043549434986422_n.jpg


Zamani hzi nguo zilikuwa ni kwa ajili ya masikini, siku hizi nguo zilizochanika kama hizi ni kwa ajili ya matajiri na wenye nazo
 
hizi nazo ni nguo ambazo zipo chini ya kiwango. kama serikali itazikamata nguo za mitumba nazo hizo zikamatwe
 
Mkuu hio nguo haiko chini ya kiwango aisee.

Watoto wa mujini wanaiita first class wear
ha ha watoto wa mjini siku izi hawajielewi, kitu chochote kikitoka marekani wanakikumbatia tu.
tena ukitaka uwateke vizuri hicho kitu kiite kwa lugha ya kingereza hapo unakuwa umeua bendi.
 
Kadri siku zinavyokwenda....ukichaa unaongezeka..... hata kuokota makopo ilionekana "kazi" ya vichaa.....ila sasa ni "ajira"
 
Kaijage akiziona hizo lazima apambane nazo.

Atazipiga ushuru uliokwenda shule hadi zikumbuke kwao.
 
Back
Top Bottom