Mali kale (Tunnu za Kale) na Umaskini wetu!

Mali kale (Tunnu za Kale) na Umaskini wetu!

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
599
Wadau;
Mimi ni mmoja kati ya Watanzania wenye hamu kubwa ya maendeleo kiuchumi katika Taifa letu, Nimeskia kuwa Wakoloni wa Kijerumani wakati wanaondoka nchini baada ya kushindwa vita na Waingereza walifukia kwenye mahandaki & kanisani na mahala pengi tu tofauti tofauti na kuficha mali nyingi sana zikiwemo Vinoo vya Dhahabu, Mabonge ya Almasi, Mapande makubwa ya Lulu, Madumu ya Mercury, Viroba vya Uranium,Makasha ya Sarafu na Noti za Rupia na madini mengi sana mbali mbali !

Kwanini Serikali ya Tanzania wasiingie ubia na Wajerumani na kuvuna hizi Mali kale zoote na kunufaisha nchi hizi mbili na yale maisha bora yaonekane ! Huu Umaskini wa Watanzania kwani hauwakeri watu wa Magogoni ? Zipo site zaidi ya 5,320 kwa kumbukumbu za Wizara ya mali asili na Utalii !

Kinachotokea sasa hivi ni hawa Wajerumani mmoja mmoja kuja na kuwalaghai Viongozi wetu na Familia zao na hatimaye kunufaika wao wenyewee tena wanakuwa Mabilionea wa kutishaa sana ! Watanzania wengi
 
Ni kweli kabisa nakumbuka niliwai kutembelea mbuga ya Serengeti eneo moja linaitwa Fort Ikoma watu wa huko wanadai Mjerumani alificha mali nyingi sana.Lakini wanachodai ni kwamba mali hizo zinaambatana na imani za kishirikina so ni ngumu sana kuzipata
 
Wadau;
Mimi ni mmoja kati ya Watanzania wenye hamu kubwa ya maendeleo kiuchumi katika Taifa letu, Nimeskia kuwa Wakoloni wa Kijerumani wakati wanaondoka nchini baada ya kushindwa vita na Waingereza walifukia kwenye mahandaki & kanisani na mahala pengi tu tofauti tofauti na kuficha mali nyingi sana zikiwemo Vinoo vya Dhahabu, Mabonge ya Almasi, Mapande makubwa ya Lulu, Madumu ya Mercury, Viroba vya Uranium,Makasha ya Sarafu na Noti za Rupia na madini mengi sana mbali mbali !
Kwanini Serikali ya Tanzania wasiingie ubia na Wajerumani na kuvuna hizi Mali kale zoote na kunufaisha nchi hizi mbili na yale maisha bora yaonekane ! Huu Umaskini wa Watanzania kwani hauwakeri watu wa Magogoni ? Zipo site zaidi ya 5,320 kwa kumbukumbu za Wizara ya mali asili na Utalii ! Kinachotokea sasa hivi ni hawa Wajerumani mmoja mmoja kuja na kuwalaghai Viongozi wetu na Familia zao na hatimaye kunufaika wao wenyewee tena wanakuwa Mabilionea wa kutishaa sana ! Watanzania wengi
\

Wazo lako ni zuri kwa haraka haraka,la serikali kuchukua au kufichua hazina ambazo zimefichwa kwa maslahiya watanzania. Ila tatizo mambo mengine ya rupia yanahusishwa sana na ushirikina. mfano,utapata taarifa kuwa lazima mtu anayeenda kuchukua mali akae kwa mganga muda fulani na mali itakayopatikana lazima igawanwe sawa bila dhuruma.

Halafu toka wajerumani waondoke mwaka 1919 na kumwacha mwingereza ni muda mrefu sana hata hayo madumu yaliyofukiwa ardhini lazima yatakuwa yameharibika na sarafu itakuwa imeshapata kutu.Ukizingatia teknolojia ya utunzaji vitu ilikuwa ipo chini.

Kwa kweli kama mali ipo eneo fulani,mimi naadhani watu wangeelewa wasingeacha tu,lazima wangechimba.Wasingeshindwa kuchimba wakati Geita watu wanachimba mashimo ya karibu mita 300 chini ya ardhi sembuse kanisani ambapo hata ulinzi hakuna?.

Cha msingi taarifa hizi huenda zinasambazwa na hao hao wakoloni ili kuleta mitafaruku,maana nchi hii waliondoka wanaipenda.
 
Ni kweli hivi vitu vipo sana, Ila hukohuko Serengeti kuna mahali walifukia hadi magari yao na yakaja kupatikana yakiwa yameoza kwa kutu, Ila hao hao wajerumani nilisikia mahali fulani sitaki kupataja jina walukija kwa gia ya kuwasaidia wananchi wa hapo kujenga barabara, kumbe wale wajerumani walikuwa na ramani ya mahali babu zao walifukia mali, walicho fanya walichora mchoro wa barabara na cha kushangaza waliforce barabara ipite katikati ya mlima, kumbe kwenye ule mlima ndo ilikuwa tageti yao na baada ya kulima barabara hadi kwenye huo mlima walichimbua mali zao wakaondoka na kuacha magreda pale pale na hawakurudi tena
 
Kabla ya kuiondowa CCM madarakani ni lazima kwanza tupambane na watu wajinga kama huyu mleta hii thread, hawa ndio maadui wa nchi yetu kuliko umaskini tulionao, ni mppuuzi na mpumbavu pekee ndiye anayeweza kusadiki kwamba kuna binadamu anaweza akazifukia mali chini wakati ana uwezo wa kuzipeleka anakotaka.
Ningekuwa mimi ni Rais ningeamuru watu wote wenye mawazo mgando kama haya wakamatwe na wanyongwe hadi kifo, maana ni hasara kwa Taifa.
 
Viongozi ambao wamenufaika na Mali kale hizi ni pamoja na Mzee Mkapa maana hata ile Nyumba yake ya Lushoto pia kuna site kubwa sana amejimilikisha pale,Mboma naye amenufaika, Komandoo wa Zanzibar naye alinufaika, JK na familia yake maana msione tu ni Billionea mkadhani ni FISADI watu wamepiga mali kale hizo.

Shida yenu ninyi mnataka mpaka mtu ajitokeze mbele yenu na kusema kuwa mimi nimenufaika na mali kale. Ingekuwa ni uzushi na ujinga hata pale Wizarani ya Mali asili na Utalii wasingesumbuka kuweka Idara kusimamia ujinga huu. Matola don't under estimate kila kitu ! Matengenezo ya Ocean Road mwaka 1995 yalitoka makontena zaidi ya 20 ya Dhahabu na madini mbalimbali na wakubwa walinufaika na mchakato huo !
 
Uwepo wa mali kale katka taifa letu c wa kubuni ni kweli na hakika 100% na c taifa letu tu ni mataifa mengi yana hazina za kale, tatizo moja kubwa na ni janga la kitaifa katika nchi yetu watu hawana elimu ya kuvumbua mali hizi,kwanza kabisa kuna alama za siri ambazo zilibuniwa na secret societe ambao kwa jina lingine tunawaita free masons na hao masons waliobuni alama hizo wanaitwa the masonic church of 33 degrees ambao ni totaly evils, kabla hujafikiria kutafuta hazina za kale lazima ujifunze kutafsiri alama nembo na vipimo ili uweze kufanya kazi zenye mafanikio.
 
uwepo wa mali kale katka taifa letu c wa kubuni ni kweli na hakika 100% na c taifa letu tu ni mataifa mengi yana hazina za kale, tatizo moja kubwa na ni janga la kitaifa katika nchi yetu watu hawana elimu ya kuvumbua mali hizi,kwanza kabisa kuna alama za siri ambazo zilibuniwa na secret societe ambao kwa jina lingine tunawaita free masons na hao masons waliobuni alama hizo wanaitwa the masonic church of 33 degrees ambao ni totaly evils, kabla hujafikiria kutafuta hazina za kale lazima ujifunze kutafsiri alama nembo na vipimo ili uweze kufanya kazi zenye mafanikio.
 
Mkuu unajua kipindi/season iinayoitwa treasure quest inarushwa discover channel? Fatilia uone watu wanavyopiga hela kwa mali zilizofukiwa kitambo.
Kabla ya kuiondowa CCM madarakani ni lazima kwanza tupambane na watu wajinga kama huyu mleta hii thread, hawa ndio maadui wa nchi yetu kuliko umaskini tulionao, ni mppuuzi na mpumbavu pekee ndiye anayeweza kusadiki kwamba kuna binadamu anaweza akazifukia mali chini wakati ana uwezo wa kuzipeleka anakotaka.
Ningekuwa mimi ni Rais ningeamuru watu wote wenye mawazo mgando kama haya wakamatwe na wanyongwe hadi kifo, maana ni hasara kwa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
 
Maaamaaa, kuna watu watalia humu na kujiongezea umasikini, hakuna kitu kama hicho cha mali kale, nasema ni utapeli na mikakati ya matepeli kukuibiwa wewe utakaetaka kuwa na kiu ya kufanikiwa, jamani achaneni na hizi habari, ni wizi tu
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
Bado unachukua Mali kale
 
😁😀😄
Ocean Road Hospital
Palitoka Contenal 20 Za Dhahabu
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
Duh IPO ya simba mmoja na pasi ya kijerumani weka dau kabisa
 
MWENYE RUPIA ZIFUATAZO: FUFUMARK, RUPIA YA SIMBA WAWILI, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA NYEKUNDU , DINALI YA JICHO... NA MWENYE VITU VIFUATAVYO: MAJI MEKUNDU AU MEUSI (MERCURY) , MWENYE PASI , JIKO , CHEMLI , KIKOMBE , KUFULI NA VIFAA VYA MATUMIZ YA MAJUMBAN.. TAJIRI YUPO NA BIASHARA INAFANYIKA DAR ES SALAAM KWA UHAKIKA NA UFANISI WA HALI YA JUU, MATAPELI TAFADHALINI MKAE MBALI NA HILI HATUNA MUDA WA KUPOTEZA CONTACT 0716637717, 0785510604 AU 0769767771
 
Unatafuta watu wa kupiga? Hahaa baadae njoo kwa ID nyingine useme unazo hayo mavitu unatafuta soko
 
Unatafuta watu wa kupiga? Hahaa baadae njoo kwa ID nyingine useme unazo hayo mavitu unatafuta soko
Kaka sio kila anaepost hapa NI MWIZI hayo ya ID nyingne mi sijui labda kama wewe ndo mwenye huo uzoefu, ktk MAISHA yangu sijawah iba na wala sijawah kufikiria kuiba yan nipost kutaka mwenye hizo bidhaa halaf hapohapo nije kivingine eti nipost nina vitu hizo namba HAPO nimeweka za nini sasa
 
Back
Top Bottom