Mali aliyoikuta mwanamke inaweza kugawanywa sawa endapo mmeachana?

Aisee jamani ndoa sio majaribio, tujifunze kusoma tabia za watu kabla, familia/koo wanazotoka, marafiki na jamii gani wanatokea (kabila lao) n.k ukisha jiridhisha fuata miiko ya uchumba na harusi yote haya ukimwomba Mungu akuepushe na balaa au mikosi ya watu wenye tabia za hovyo. Nakuonea huruma na tayari umeshaanzisha familia na mtu wa aina hiyo, pole kaka na kazi unayo mpaka umauti wako hapa duniani.
 
Timua tu hiyo pimbi.. wanawake wa sikuhizi vichomi Sana na dawa yao ni kuwaacha wakakutane na vichomi wenzao.. yaan haiingii akilini Mwanaume unakua mpole na mpenda Amani Ila jianamke ndo kila siku linatafuta magomvi..!?

Hata wakichukua Mali zote.. ukipambana unazirudisha Tena hata zaidi ya Hizo.. tanguliza Aman ya Roho mkuu
Hii ndio principle yangu mkuu, as long as mtoa mada ana mtoto, mali kama nyumba sio ishu, unaweza acha akakaa na mwanao ila sio kungawia! Personally furaha ndio kitu muhimu sio mali....unapambana na kuwa happy again, mali zisikufanye ukakosa amani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo inaonekana tatizo ni wazaz wake sio
Tatizo kubwa ni wazazi wake lakini pia yeye pia haepukiki katika ubaya kwanini awasikilize wazazi wake zaidi kuliko mm!!!? Siku wakimwambia aniue si lazima atekeleze huyu..?
 
narudi tena wanawake wanaongozwa na external forces hawana uwezo wa kuchambua mambo, yaan wako vzuri ktk kusikiliza jambo na mashauri ya watu wengine kuliko mwanaume wake! ni tatizo kubwa sana. mambo unayotakiwa kufanya...
huyo mwanamke piga chini,

usijaribu kurumbana nae yaan usimjibu hata akiongea ovyo kiasi gani. Seti michakato yako upya yaan kuwa wa tofauti maana ameshakuzoea ww ni mwanaume wa aina gani,
tafuta mwanamke mwingine braza pooza machungu lkn mwambie ukweli khs mkeo au mtalaka wako wanawake waelewa wapo wengi tuu,
narudia tena funga mdomo wako deal na mwanao tu

nb: baada ya kufanya hayo hapo juu atakuja kukuomba msamaha tu hata km sio leo wala kesho. lakini kwa inshu ya kukupeleka mahakamani! huyo sio mwema kbs hakukutakia mazuri.

all the best. sisi ndyo wanaume bhna
 
narudi tena wanawake wanaongozwa na external forces hawana uwezo wa kuchambua mambo, yaan wako vzuri ktk kusikiliza jambo na mashauri ya watu wengine kuliko mwanaume wake! ni tatizo kubwa sana. mambo unayotakiwa kufanya...
huyo mwanamke piga chini..
Thanks brother
 
Back
Top Bottom